Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Sasa hizo comments tuu..Dah.. Usinikumbushe kabisa mzee, misala mingi halafu class nasongesha vizuri, mwalimu wananikubali inabidi wa nitetee tu, form 1 nikatimuliwa baada ya kukata makofi mwalimu, A level nikamtongoza ticha wangu wa physics 😂
Primary usipime, watoto, sijui watu gani nimo, matokeo mazuri nimo, Wali u wakaniachia tu 🤣, sura ya pole ila mtukio sasa 🤣😂
An daah nabaki nacheka 🤓🤓🤓
Tuu kumbe na PHY ulipiga..
Ndo mana kichwa kimekua confused sana🤓🤓🤓🤓