Huwezi amini huyu ni mtoto wa kiume

Huwezi amini huyu ni mtoto wa kiume

Hamna uzuri wowote hapo na wala hana mvuto wa mwanamke ila anaonekana kama dume lililojipaka paka vitu vya kike. Hawezi hata kuukaribia uzuri wa mwanamke tena ambaye hajarembwa.
 
Bofloo hilo huwaga tunatafunia na rosti ya maini na mchemsho wa maziwa freshii bila hata chembe ya ujiko wa sukari!!!
 
Una uhakika ni mwanaume huyo? Mi hadi sahivi mi bado nabisha siyo mwanaume
unajua mwanaume anapimwaje au sio?! Km unaelewa bas tunakutuma uende kufanyiwa majaribio,unless ni vyema kuacha kuuzungumzia uanaume wa wengne tena nyuma la pazia la fake ID
•Hope this Helps
 
Basi huyu asiitwe tena simba ni panya buku tu, CHAMAKI NCHANGA, kitoweo, kitafunwa cha wazibua mitaro.

Nani tena anatuharibia kijana.
Wapo, Kuna Rick Rosey huyu ni alikuwa ni chakula ya Diddy baada ya kuacha magereza ya bongo, yupo Omarion hyu ni baby darling wa Diddy tangu akiwa na 12yrs mpka kugombana na mmoja wa Wana crew RazB, J boog au Lil fiz (kumbukumbu zimepotea uzee)
Mpka kuvunjika Kwa crew lakini yeye O" akabaki bad boys
Boss kibongo bongo ni yeye ni Top akipanda ndege na kuvuka mipaka anakuwa Bottom mzuri tu, ndio maana safu nzima ya Baby Classic Wasafi machocolate wap kuanzia dancers,waimbaji,back vocals, watangazaji, reporter, stylish, nk
Acheni wafukuane km ww haikuathiri Kwa namna ama nyingine
Kupanga ni kuchagua
 
unajua mwanaume anapimwaje au sio?! Km unaelewa bas tunakutuma uende kufanyiwa majaribio,unless ni vyema kuacha kuuzungumzia uanaume wa wengne tena nyuma la pazia la fake ID
•Hope this Helps
Kipimo cha kwanza ni kusuka huo ni umama/udada/ukike

Kama unabisha suka uone kama sijaleta posa ya kukuoa
 
Hawa ni wale wanaume wapumbavu amboa wanafikiri ili uwe handsome ni lazima usuke,uvae hereni,utinde nyusi,ujipodoe n.k, na wengine wameenda mbali mpaka kuvaa nguo za kike...
 
Back
Top Bottom