Huwezi amini huyu ni mtoto wa kiume

Huwezi amini huyu ni mtoto wa kiume

Yule wa juzi kigauni kimini cheusi, mtoto wa kiume , hawakuona sijui.?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa, ila yule kumbe ni mgonjwa wa akili, ila vijana wavuta bangi wakawa wana muingilia bila ridhaa yake, mbna katolewa nje.
 
Kipimo cha kwanza ni kusuka huo ni umama/udada/ukike

Kama unabisha suka uone kama sijaleta posa ya kukuoa
Me nimesuka njoo tufanye kipimo cha pili nikupumulie

Wanaume walosuka nikutajie ukawaoe Mkuu ila ikitokea wakakuzalisha usije kutulilia humu
 
Na Hawa ndio mnasema ndio " vioo vya jamii"!
Kioo chako chagua wazazi wako na km wazaz wako hawafai basi kuwa ww bora kwa manufaa ya kizaz chako,wasanii wanafanya kinachowapa burudani na faida km wanadamu wengne,hawafany ili ww uwe kama wao ingekua ivo wanavyosemwa wangeshabadilika,

Waslamu wanavyowasema Mond na Konde kila silu ingekua ni wakusikia ama wanataka kuwa mifano ya jamii wangeshabadilika

Mind Your Bussiness,Period!!

Hope this helps
 
Mkuu uwe na heshima unavyoitaja simba sc,usifananishe lile choko na simba sc,kwanza ashasema kahamia yanga kwa sababu ya manara..mind ur language.
Ila si anajiita simba mkuu 🤓🤓🤓
 
Wapo, Kuna Rick Rosey huyu ni alikuwa ni chakula ya Diddy baada ya kuacha magereza ya bongo, yupo Omarion hyu ni baby darling wa Diddy tangu akiwa na 12yrs mpka kugombana na mmoja wa Wana crew RazB, J boog au Lil fiz (kumbukumbu zimepotea uzee)
Mpka kuvunjika Kwa crew lakini yeye O" akabaki bad boys
Boss kibongo bongo ni yeye ni Top akipanda ndege na kuvuka mipaka anakuwa Bottom mzuri tu, ndio maana safu nzima ya Baby Classic Wasafi machocolate wap kuanzia dancers,waimbaji,back vocals, watangazaji, reporter, stylish, nk
Acheni wafukuane km ww haikuathiri Kwa namna ama nyingine
Kupanga ni kuchagua
Kumbe ugomvi wa b2k ishu ilikua haya mambo, kazi ipo, dunia sasa inavua pichu na kutanua miguu.
 
Back
Top Bottom