Huwezi amini kwamba hawa nao ni wasomi wa UDSM wanasaka degree

rearden

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
208
Reaction score
209
kutoka Mabibo Hostel:

View attachment 85821


inasikitisha sana na kuhuzunisha kuona watoto wa wakulima wanaotafuta shahada ya elimu ya juu (university) ndani ya chuo bora kabisa Tanzania na Africa kwa ujumla.Je:
1.ni uzembe wa serikali ya chama cha mapinduzi?
2.ni uzembe wa uongozi wa chuo kikuu cha dar es salaam?
3.ni uzembe wa wanafunzi wenyewe wanaoshindwa kufanya kazi za ziada wakiwa vyuo vikuu na kupata hela zinazoweza kuwafanya wakapanga nje ya vyuo ambao wanaweza kupata malazi yenye mazingira bora zaidi ya haya?
4.kwa mazingira kama haya wanafunzi wanapata usingizi wa kutosha ili waweze kuweka vichwa vyao katika hali nzuri ya kuhudhuria na kuelewa lecture za siku inayofuata?
5.watanzania wanafahamu kuwa wanachuo kikuu wanalala katika mazingira kama haya yenye joto kali kama hili la jiji la dar es salaam bila hata feni wakitokwa jasho mwili mzima usiku kucha?
6.viongozi wa serikali wanayafahamu mahasibu haya?
7.wanafunzi wa chuo kikuu na uongozi wa chuo kikuu cha UDSM wameridhika na mazingira haya ya malazi?

my take:
ni aibu kwa kwa serikali,chuo kikuu cha dar es salaam (UDSM) na wasomi wote waliopo na waliowahi kupitia chuo kikuu cha dar es salaam (UDSM)
 
Asante sana. ufisadi na rushwa huzaliwa kwenye mazingira ya namna hii. finally hawa watu wakishahitimu katika mazingira kama haya, sidhani watakumbuka kufanya kitu ili wadogo zao na watoto wao wasipate shida kama hii. kinachofanyika ni kuiba sana ili mwanaye asije kusoma hapa. wengine. hata wakija kusoma, haimuhusu ili mradi mwanaye hayupo hapo. kama kila kitu kingelikuwa poa, ina maana watu hata wakihimizwa kutunza kwa ajili ya kizazi kijacho kuna mantiki. ama kweli, ccm ni janga la kitaifa.
 
Huyo wa juu hajaondoa godoro makusudi kweli? All in all UDSM jina lakini kwa mwendo huu tusitegemee viongozi wazalendo na wachapakazi kutoka UDSM zaidi ya akina Mrisho,Nchemba,Shonza n.k
 
The so called university of great thinkers, where are they?
 
I dont have any comments, however....ok let my queries are reserved...
 
Hii picha ni bongo kweli? sio wame-act!??
 
angalia hilo dirisha upande wa kushoto
angalia hiyo meaza ndefu nyeupe
angalia hito chata/nembo kwenye kitanda ambayo inasomeka vizuri kwamba

UDSM/MAB/HOST/.......

Picha hii ni halisi na imechukuliwa jana tarehe 5/3/2013.
mwenye macho haambiwi tazama.
 
eh,sasa ka mabibo ishafikia ivi,hatari..mlimani yangu ya zamani...so sad
 
Chuo si starehe,MWANAUME inabidi UGANGAMALE, na ndio stahili ya kuua USINGIZI.... Nahisi huu ulikuwa wakati wa MITIHANI.... SO SIO SHIDA SANA NA MSIPATE SHIDA YAKUANZA KULAUMU SANA...NI MAMBO MADOGO YA KAWAIDA TU KWA WASONGOOOO....
 
wizi ni noma...washikaji wamelala wakiwa wameshikilia sehemu nyeti!!
 
Hao jamaa wa chini wamelala mzungu wa 4 mmoja miguu ikiwa inanuka ni majanga.
 
..this ain't mabibo.. Kaka unedanganya umma
...though accommodation ni tatzo udsm
 
we unayebsha kwamb hy co mabibu uwekew nn il huamn au htakuwa hujawah kufka mabibo.by ma way mleta mada kuna kitu ungektolea tarfa kwa huyo mtu aliyelala bila ya godoro ni kwamba hajalpia chumba.lakn hao wa chin nd hali halisi wat wanalala mzung wa nne na bonge la joto.
 
Mnyika ajihuzulu kwan yeye di ndo alihaidi hostel na makazi mazuri kwa wanafunzi wa UDSM.
 
ACha kudanganya waTU WADAU HAWAJALIPIA vyumba wamekuja toka mkoa hawana ndugu ..wameyataka wenyewe kukaa na kuLALA HIVYO TENA HUYO WA JUU ANAONEKANA MBISHI TU WAKATI BOOM KAPEWA JUZI ..ISHU ZINGINE TUSI singizie uTAWALA WAKATI sIO KWELI HATA KIDOGO ...KUDADAVUA KWA UNDANI Hawa waTAKUWA WAMEbeBWA na wabeBAJI HAWAJAJA MJINi! Jipange mtoa theard!
 
Kazi ya Jeshi kugangamala.

Labda wakiwa na vitanda kama hivyo vitatia uvivu kulala na motisha kusoma zaidi.

On the real tho, jamaa si wanakopeshwa mshiko? Where is the disconnect? Mshiko hautoshi? Wafanyabiashara hawachangamkii tenda kujenga? Maeneo mbona kibao tu hayajajengwa vilivyo?
 
Picha ni ya kweli kabisa,lakn tatzo sio la uongozi wa chuo,tatzo ni la wanafunz wenyewe,mtu kaja kutoka mkoan kimya kimya then hajalipia pesa ya accomodation na funguo za rum anazo,kwa kifupi hapo hao wamejitakia wenyewe na hakuna mtu wa kulaumiwa.over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…