Huwezi amini kwamba hawa nao ni wasomi wa UDSM wanasaka degree

Huwezi amini kwamba hawa nao ni wasomi wa UDSM wanasaka degree

Wameigiza na kuja kuileta hapa, there is a hidden agenda behind this post.
 
Hawajalipia chumba wanapiga mahesabu ya kunywa pombe tu. Hiyo ni mabibo ila lawama kwa wanafunzi wanaobadili matumizi ya accomodation and meal allowance na kwenda kuolea wake. Kulala mzungu wa nne ni kawaida sana kwa mabibo, haikwepeki kulingana na maisha halisi. Ila bila godoro! Huyo amejitakia
 
Hiyo picha ni ya kweli, na mmoja wa hao waliolala tupo naye ndani ya shuttle bus sasa hivi
 
Picha ni ya kweli kabisa,lakn tatzo sio la uongozi wa chuo,tatzo ni la wanafunz wenyewe,mtu kaja kutoka mkoan kimya kimya then hajalipia pesa ya accomodation na funguo za rum anazo,kwa kifupi hapo hao wamejitakia wenyewe na hakuna mtu wa kulaumiwa.over
hapo umenena ukweli, unajua huu uhuru wa kila m2 kuandika na kutoa maoni kwa kila ki2 kinachokatiza maele yake ndiko kunakopotosha umma, kwa m2 aliepita mabibo akaishi anajua hali halisi, kajilaza kwenye vyuma anategemea nan amuonee huruma? kama bumu kapewa ina maana ameshindwa kujiongeza? basi elimu haikaa imkomboe kamwa kama ameshindwa kujimanage mwenyewe binafsi, kimsingi kama ulivyosema atakua hajalipia rumu na asipoangalia hicho kitanda atapewa mwingine, utamuona anakuja kulalamika tena humu ati vyumba vinatolewa kwa rushwa, akalale pale cafeteria c ndo alikowekeza hela zake, nonsense
 
kutoka Mabibo Hostel: View attachment 85821 inasikitisha sana na kuhuzunisha kuona watoto wa wakulima wanaotafuta shahada ya elimu ya juu (university) ndani ya chuo bora kabisa Tanzania na Africa kwa ujumla.Je: 1.ni uzembe wa serikali ya chama cha mapinduzi? 2.ni uzembe wa uongozi wa chuo kikuu cha dar es salaam? 3.ni uzembe wa wanafunzi wenyewe wanaoshindwa kufanya kazi za ziada wakiwa vyuo vikuu na kupata hela zinazoweza kuwafanya wakapanga nje ya vyuo ambao wanaweza kupata malazi yenye mazingira bora zaidi ya haya? 4.kwa mazingira kama haya wanafunzi wanapata usingizi wa kutosha ili waweze kuweka vichwa vyao katika hali nzuri ya kuhudhuria na kuelewa lecture za siku inayofuata? 5.watanzania wanafahamu kuwa wanachuo kikuu wanalala katika mazingira kama haya yenye joto kali kama hili la jiji la dar es salaam bila hata feni wakitokwa jasho mwili mzima usiku kucha? 6.viongozi wa serikali wanayafahamu mahasibu haya? 7.wanafunzi wa chuo kikuu na uongozi wa chuo kikuu cha UDSM wameridhika na mazingira haya ya malazi? my take: ni aibu kwa kwa serikali,chuo kikuu cha dar es salaam (UDSM) na wasomi wote waliopo na waliowahi kupitia chuo kikuu cha dar es salaam (UDSM)
msishangae sana haya maisha mbona yameanza kitambo sana hapo udsm... mimi nimekuwepo bibo tangu 2006 lakini life ilikuwa kama inavoonekana pichani
 
Nimecheka sana! Nilipomuangalia huyo wa juu. Japo inauma. Ni ishara ya wazi ya umasikini uliokithiri. Ni sehemu ya madhara ya 'no loan'. Huyo jamaa anayo imani kubwa sana na shule. Hatari ni pale atakapohitimu na kukosa kazi. Yote kwa yote, hosteli takribani vyuo vikuu vya Tz zipo hivyo. Kuna wanafunzi kibao, wasichana kwa wavulana, kibao wanauza vyumba na kwenda kubebana (kulala mzungu wa nne).
 
ACha kudanganya waTU WADAU HAWAJALIPIA vyumba wamekuja toka mkoa hawana ndugu ..wameyataka wenyewe kukaa na kuLALA HIVYO TENA HUYO WA JUU ANAONEKANA MBISHI TU WAKATI BOOM KAPEWA JUZI ..ISHU ZINGINE TUSI singizie uTAWALA WAKATI sIO KWELI HATA KIDOGO ...KUDADAVUA KWA UNDANI Hawa waTAKUWA WAMEbeBWA na wabeBAJI HAWAJAJA MJINi! Jipange mtoa theard!
Hivi mnataka Chama Tawala kifanyeje
Godoro waibe Wanachuo, lawama Serikali
Hapo awali, kulikuwepo kila kitu sasa wanaoiba wanataka wenzao wakasome wapi?
Mtoa mada sijajua lengo lake ila Wasomi wa siku hizi mmekuwa lainilaini sana bora JKT irudi ili ukimaliza Foem VI upitie huko na ukifika Chuo utakuwa na Nidhamu.
Sisi mwaka Operesheni Nadhamu Makutupora kabla ya kwenda Chuoni tulilala kwenye vitanda vya chaga za fito za mitunduru na ukizubaa unafuga kunguni hasa.
sasa nyi hamjapitia huko mnataka mabadiliko gani tena, mletewe Godoro la Upepo na perfumes?

 
hapo umenena ukweli, unajua huu uhuru wa kila m2 kuandika na kutoa maoni kwa kila ki2 kinachokatiza maele yake ndiko kunakopotosha umma, kwa m2 aliepita mabibo akaishi anajua hali halisi, kajilaza kwenye vyuma anategemea nan amuonee huruma? kama bumu kapewa ina maana ameshindwa kujiongeza? basi elimu haikaa imkomboe kamwa kama ameshindwa kujimanage mwenyewe binafsi, kimsingi kama ulivyosema atakua hajalipia rumu na asipoangalia hicho kitanda atapewa mwingine, utamuona anakuja kulalamika tena humu ati vyumba vinatolewa kwa rushwa, akalale pale cafeteria c ndo alikowekeza hela zake, nonsense

una uhakika kwamba wote hao wanapokea boom.una idea na kitu kinaitwa 'no loan'. unadhan wanafurahia kulala kwa staili hiyo.una habari kwamba wangeweza kujitutumua na hela zao ndogo za mfukoni na kulipia malaz hapo hostel lakin vyumba havitoshi hivyo wanaobahatika kupangiwa vyumba ni wachache.una habari kuwa zaidi ya 50% ya wanachuo wa mliman wanalala mzungu wa nne.unadhan wanapenda kulala sytle hiyo kwnye vitanda vidogo vya size ya 3,1/2 kwa 6. tafakari kwanza kabla ya kukurupuka na kucomment vitu usivyovifahamu vizuri
 
Hiyo ni ishara ya wazi ya umasikini ulioptiliza. Ni matokeo ya 'no loan'. Huyo jamaa wa deka ya juu anayo imani kubwa ssana na shule. Hatari ni pale atakapohitimu na kukosa ajira.
Wanachuo wenhi huuza vitanda vyao, kisha kulala wawili ili kupata hela za kukidhi mahitaji ya kila siku, wengi wao wanatoka familia duni sana. Si rahisi sana kwa wale wa 'mboga saba' kuuza vitanda. Hili nina uzoefu nalo.
 
Back
Top Bottom