Mnyika ajihuzulu kwan yeye di ndo alihaidi hostel na makazi mazuri kwa wanafunzi wa UDSM.
Hiyo picha ni ya kweli, na mmoja wa hao waliolala tupo naye ndani ya shuttle bus sasa hivi
Hajashtukia, ila pia naogopa kumshtua asije akasema mimi ndio nimempiga picha au kuanzisha uzimwambie atupe ufafanuzi juu ya hii thread
hapo umenena ukweli, unajua huu uhuru wa kila m2 kuandika na kutoa maoni kwa kila ki2 kinachokatiza maele yake ndiko kunakopotosha umma, kwa m2 aliepita mabibo akaishi anajua hali halisi, kajilaza kwenye vyuma anategemea nan amuonee huruma? kama bumu kapewa ina maana ameshindwa kujiongeza? basi elimu haikaa imkomboe kamwa kama ameshindwa kujimanage mwenyewe binafsi, kimsingi kama ulivyosema atakua hajalipia rumu na asipoangalia hicho kitanda atapewa mwingine, utamuona anakuja kulalamika tena humu ati vyumba vinatolewa kwa rushwa, akalale pale cafeteria c ndo alikowekeza hela zake, nonsensePicha ni ya kweli kabisa,lakn tatzo sio la uongozi wa chuo,tatzo ni la wanafunz wenyewe,mtu kaja kutoka mkoan kimya kimya then hajalipia pesa ya accomodation na funguo za rum anazo,kwa kifupi hapo hao wamejitakia wenyewe na hakuna mtu wa kulaumiwa.over
hahahahahahaaaaa wametoka kuangalia tutorial aka ponowizi ni noma...washikaji wamelala wakiwa wameshikilia sehemu nyeti!!
msishangae sana haya maisha mbona yameanza kitambo sana hapo udsm... mimi nimekuwepo bibo tangu 2006 lakini life ilikuwa kama inavoonekana pichanikutoka Mabibo Hostel: View attachment 85821 inasikitisha sana na kuhuzunisha kuona watoto wa wakulima wanaotafuta shahada ya elimu ya juu (university) ndani ya chuo bora kabisa Tanzania na Africa kwa ujumla.Je: 1.ni uzembe wa serikali ya chama cha mapinduzi? 2.ni uzembe wa uongozi wa chuo kikuu cha dar es salaam? 3.ni uzembe wa wanafunzi wenyewe wanaoshindwa kufanya kazi za ziada wakiwa vyuo vikuu na kupata hela zinazoweza kuwafanya wakapanga nje ya vyuo ambao wanaweza kupata malazi yenye mazingira bora zaidi ya haya? 4.kwa mazingira kama haya wanafunzi wanapata usingizi wa kutosha ili waweze kuweka vichwa vyao katika hali nzuri ya kuhudhuria na kuelewa lecture za siku inayofuata? 5.watanzania wanafahamu kuwa wanachuo kikuu wanalala katika mazingira kama haya yenye joto kali kama hili la jiji la dar es salaam bila hata feni wakitokwa jasho mwili mzima usiku kucha? 6.viongozi wa serikali wanayafahamu mahasibu haya? 7.wanafunzi wa chuo kikuu na uongozi wa chuo kikuu cha UDSM wameridhika na mazingira haya ya malazi? my take: ni aibu kwa kwa serikali,chuo kikuu cha dar es salaam (UDSM) na wasomi wote waliopo na waliowahi kupitia chuo kikuu cha dar es salaam (UDSM)
hapana ni kweli usibishe... hiyo inaitwa kubebanaWameigiza na kuja kuileta hapa, there is a hidden agenda behind this post.
Hivi mnataka Chama Tawala kifanyejeACha kudanganya waTU WADAU HAWAJALIPIA vyumba wamekuja toka mkoa hawana ndugu ..wameyataka wenyewe kukaa na kuLALA HIVYO TENA HUYO WA JUU ANAONEKANA MBISHI TU WAKATI BOOM KAPEWA JUZI ..ISHU ZINGINE TUSI singizie uTAWALA WAKATI sIO KWELI HATA KIDOGO ...KUDADAVUA KWA UNDANI Hawa waTAKUWA WAMEbeBWA na wabeBAJI HAWAJAJA MJINi! Jipange mtoa theard!
hapo umenena ukweli, unajua huu uhuru wa kila m2 kuandika na kutoa maoni kwa kila ki2 kinachokatiza maele yake ndiko kunakopotosha umma, kwa m2 aliepita mabibo akaishi anajua hali halisi, kajilaza kwenye vyuma anategemea nan amuonee huruma? kama bumu kapewa ina maana ameshindwa kujiongeza? basi elimu haikaa imkomboe kamwa kama ameshindwa kujimanage mwenyewe binafsi, kimsingi kama ulivyosema atakua hajalipia rumu na asipoangalia hicho kitanda atapewa mwingine, utamuona anakuja kulalamika tena humu ati vyumba vinatolewa kwa rushwa, akalale pale cafeteria c ndo alikowekeza hela zake, nonsense