Huwezi amini lakini huyu ni Shilole kabla hajaja mjini

Kila nikiifungua hiyo pichs yakee ya zamaniu yaani kuizoom simu inazima jamanii nimeona nicomment tu
 
hivi hawa mastar wetu bila kubaki na rangi zao hawaoni kuwa ni ma-star?
Yaani lazma waoge na carolite. Inaboa
 
Kila mtu/kitu kina mwanzo wake,so hakuna cha ajabu kwa shilole kuwa vile mwanzo na sasa kuonekana ktk muonekano huo.Cha msingi kuangalia mbele na si nyuma ulipotoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…