Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwasasa unamsaidia ila kwa baadae tutamkimbia mana atatisha....Mkorogo unasaidia..
Dah....360 ni hatari inadanganya sana hii.....
Kwasasa unamsaidia ila kwa baadae tutamkimbia mana atatisha....
Nadhani anajuta sasa......mifano ipo![]()
Sijui nani huwa anawadanganya....na mkorogo juu
mifano ipo
![]()
Mtu unaweza ukajikana hivihiv
Hahaha ata hakijikana sura yake ni ile ile na pia moyoni nafsi itamsuta
Kwasasa unamsaidia ila kwa baadae tutamkimbia mana atatisha....
huyu ni Jesse?
hahah shilole hapo juu katoka ova demu mchuuzi wa samaki hukooo kifumangao mkuranga