ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
du, nadhani picha zao za zamani wanazichanaga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amejikoroga hvi?
Dah....360 ni hatari inadanganya sana hii.....
Huyo mchina ni balaa....watu usoni tumejaa chunusi na madoa ila unatoka hauna doa wala chunusi....Nilikuwa sijui 360 ni bidhaa ya kichina
Huyo mchina ni balaa....watu usoni tumejaa chunusi na madoa ila unatoka hauna doa wala chunusi....
Nimeitafuta kwenye store ya simu yangu sijaiona, nadhani itawekwa soon,
Ah na wew unataka ku fake....mim ipo ila siitumii......
mifano ipo
![]()
Kapendeza huyu dada jamaniii
Kama wanyama wanaweza kubadilika kulingana na mazingira basi binadamu naye lazima abadilike kulingana na mazingira yanayo mzunguka.
Huyu ni mtu au kinyago cha mpapuremifano ipo
![]()