Huwezi amini lakini huyu ni Shilole kabla hajaja mjini

Huwezi amini lakini huyu ni Shilole kabla hajaja mjini

Kama wanyama wanaweza kubadilika kulingana na mazingira basi binadamu naye lazima abadilike kulingana na mazingira yanayo mzunguka.
 
kwa kulinganisha picha ya zamani na ya sasa ya shilole nimejifunza pesa ipo ikitafutwa inapatikana.mkorogo huo ni kitu kingine.big up shishi baby!
 
shishi babe.....

kwa historia ya huyu binti amejaribu sana kujikwamua kimaisha.....ila amekosa elimu ya kujitambua na kujikubali katika mambo flaniflani
 
Huyo mchina ni balaa....watu usoni tumejaa chunusi na madoa ila unatoka hauna doa wala chunusi....

Nimeitafuta kwenye store ya simu yangu sijaiona, nadhani itawekwa soon,
 
mifano ipo
10173722_556264511156315_1940527125_n.jpg

Kapendeza huyu dada jamaniii
 
Ukiwa mdogo black unapokua ki binti na kuja mjini cheupe....Ha ha ha ha ha ha "binadamu kama vinyonga"
 
Kama wanyama wanaweza kubadilika kulingana na mazingira basi binadamu naye lazima abadilike kulingana na mazingira yanayo mzunguka.

Ha ha ha ha Mkuu na mnyama pundamilia nae akabadilike kutokana na mazingira akawe na ngozi yenye rangi ya chui
 
Kwel wanakwambia watoto wa mujin! Natural iachie misitu, mjin ni mwendo wa kujipga tindkal mpaka kieleweke mh!
 
Back
Top Bottom