Huwezi amini lakini huyu ni Shilole kabla hajaja mjini

Huwezi amini lakini huyu ni Shilole kabla hajaja mjini

mifano ipo
10173722_556264511156315_1940527125_n.jpg

Teh teh teh...... Sasa hivi ana sura ya plastic...
 
Hadi sijaamini! Mnakulaga nini,mpaka mnabadlka kwa kiasi kikubwa hivoo?
 
wakiwa hivi huwa wana tuumiza sana vichwa!

maimatha-mrocky.jpg

Hapo jeee..kabla hajapaka makorokocho ..ni shedaaaa wanaume kazi mnayo
 
Attachments

  • 1427832920127.jpg
    1427832920127.jpg
    19.7 KB · Views: 1,310
  • 1427832940963.jpg
    1427832940963.jpg
    27.8 KB · Views: 839
Hapo jeee..kabla hajapaka makorokocho ..ni shedaaaa wanaume kazi mnayo

Atumie ata Those android apps "Camera 360" as a prototype, mbona wenzie wengi tu ndo wanavyo tu prank as if they're completely white...

Sema to it's very sad that ndo kazeeka mpaka akili..
 
Bu shi, wo yong zui mei hao de zhu tu xi wang ni you suo cheng jiu. You ge mei hao de zhou mo.Jiu zhe me duo le wo de peng you zai jian

Hahahaa ha ha umenifurahisha kwel money stunna umetishaaaa
 
Atumie ata Those android apps "Camera 360" as a prototype, mbona wenzie wengi tu ndo wanavyo tu prank as if they're completely white...

Sema to it's very sad that ndo kazeeka mpaka akili..

Long time no see binamu, upo??
 
Hahahaa ha ha umenifurahisha kwel money stunna umetishaaaa

Kama unajua kichina utakuwa umeelewa,najua kichina Lakin sikitumii hivyo mtu akinichokoza kwa kichina kidogo,na mwaga mvua ya kichina
 
Back
Top Bottom