Huwezi amini lakini ukweli bila NATO, Marekani anaiogopa Sana Urusi

Siku si nyingi Zelenscky atakubal yaishe[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Mkuu umepotea sana kijiweni siku hizi.
Naomba kujua ule msimamo wa NATO wa kuiadhibu Russia ikiwa itaingia ukraine bado upo vile vile au wamelegeza.?
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa,Urusi iko vitani na Gaykraine
Nalog off Z
 
Kuangushwa kwa Soviet Union kulitokana na Mmarekani na wenzie.
Putin alikuwemo vikosini alishuhudia wakibondwabondwa vibaya mno.
Uchumi ukaanguka mpk leo wapo wapo tu.
Putin ana kisasi tu,sasa mtu anayetaka kupigana tu pasipo sababu za msingi si unampuuza.
Huyo ashachokoza nchi zote za Scandinavia kijeshi hawajamjibu.
Ni Germany tu hajagusa, anajua akiwasumbua tu siku ya pili watamkuta bafuni
 
Hii ndoto bado unaendelea kuota?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…