Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,723
- 7,408
Watu wachache watakuelewa, lakini wengi hawatakuelewaTatizo mchina tayari ana jina baya kuhusu bidhaa zake, hili ni tatizo kubwa hivyo hawazi kuwa mshindani hatari kwa Marekani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wachache watakuelewa, lakini wengi hawatakuelewaTatizo mchina tayari ana jina baya kuhusu bidhaa zake, hili ni tatizo kubwa hivyo hawazi kuwa mshindani hatari kwa Marekani.
Wakomunist wachache wa Tanzania watakuelewaWewe kweli zuzu, niambie ndege ya abiria ambayo ina-operate duniani aliyoundwa China? Yaan America miaka ya 50 washaunda ndege za abiria China 2022 bado, niambie China Technology company ambayo inaweza kuzizidi Apple, Amazon na Google, bajeti ya USA ya jeshi ni Mara 10 ya China, US Noma sana
Kwa Mtanzania mwenye akili ya kijiweni sio rahisi kueleweka.Watu wachache watakuelewa, lakini wengi hawatakuelewa
Wewe sasa ndo zuzu kabisa, kuwa wa kwanza kuunda vitu haimanishi huwezi kupitwa, china ashaanza unda ndege za abiria ila mpaka upewe kibali cha kuanza kuziuza kwa ajili ya usafirishaji kuna mchakato unapita, na unachukua miaka.Wewe kweli zuzu, niambie ndege ya abiria ambayo ina-operate duniani aliyoundwa China? Yaan America miaka ya 50 washaunda ndege za abiria China 2022 bado, niambie China Technology company ambayo inaweza kuzizidi Apple, Amazon na Google, bajeti ya USA ya jeshi ni Mara 10 ya China, US Noma sana
Kuna kipindi britain iliwahi kuwa workshop of the world, iko wapi sasa? Kuwa juu hakumaanishi utakaa daima. Japan, iliwahi kuwa ya pili kwa uchumi iko wapi sasa, uchumi wake umekuwa stagnant toka mwaka 1994 haikui.Wakomunist wachache wa Tanzania watakuelewa
Mmarekani ameshaanza kupotea kwa sasa kabakiza tu jina Mchina anakaba kila konaTatizo mchina tayari ana jina baya kuhusu bidhaa zake, hili ni tatizo kubwa hivyo hawazi kuwa mshindani hatari kwa Marekani.
Hizi ni faraja za Manzese tuMmarekani ameshaanza kupotea kwa sasa kabakiza tu jina Mchina anakaba kila kona
Imebaki historia........chant down babylonWewe kweli zuzu, niambie ndege ya abiria ambayo ina-operate duniani aliyoundwa China? Yaan America miaka ya 50 washaunda ndege za abiria China 2022 bado, niambie China Technology company ambayo inaweza kuzizidi Apple, Amazon na Google, bajeti ya USA ya jeshi ni Mara 10 ya China, US Noma sana
Na hilo ni povu la mtimbilaHizi ni faraja za Manzese tu
Marekani ipi ya kuogopa gharama za Vita?Vita ni gharama, kama unaweza kupata wapambe wa kukuunga mkono kupunguza gharama basi unafanya hvyo.
Sema Marekani siku hizi anabweka sana bika kung'ata
Vipi kule Afghanstan US na NATO wamekimbia nini huko? Mimi bila ushabiki huwa natarajia US na NATO waiambie Russia irudishe jimbo la Crimea kwa Ukraine! Kama hawezi kwa hilo,US anapiga kelele za Uoga kwa Russia ndiyo maana anahaha kuwashirikisha washirika wake wamuunge mkono kuiadhibuKwa taarifa yako NATO, bila USA, ni jibwa koko tu, ila USA, bila NATO, bado ni mbabe tu, unakumbuka kipindi cha trump alipotaka kuiondoa nchi yake kwenye NATO?Kwa kulalamika kuwa mzigo mkubwa wa kufedha anaubeba yeye, nini kilitokea kwa viongozi wengine wa NATO?!Siasa za URUSI ni za kishamba sana, na kwa sasa hawezi kuachwa na kufanya anavyotaka kwa kutaka kulazimisha tena Umoja wa soviety!!ni mikwala tu, kwani juzi ameambiwa na USA ana option mbili tu kuivamia Ukraine, nakuwa tayari kulipa ghalama za uamuzi huo, au kuacha!!
We wadhani vita mchezo? Vita isiyokuwa na faida ni gharama kwa uchumi wa nchi yoyote. We wadhani kwanini mmarekani vita yote aliyopigana hata alipoenda mvamia sadam aliomba collabo ya nchi wanachamanwa NATO? Vita ni gharama sana na Marekani siku hizi anajiepusha na vita kwasababu hiyo.O
Marekani ipi ya kuogopa gharama za Vita?
Kumbuka Marekani imeiacha Urusi mbali kiuchumi,Sasa hiyo iliyoachwa kiuchumi haiogopi chochote kwa huyo mwenye uchumi mkubwa.
Tena basi ni kama muunganiko wa matajiri dhidi ya nchi moja na inazitisha.
Hii siyo speed ya magari, kwamba yanapitana ndani ya muda mfupi. China katoka alikotoka huko kapita nchi zote mpaka kuwa namba mbili, now anamsaka alieko hapo juu. Karibu ashafanikiwa katika mengi amebaki kumdondosha.Hii ndani ya miaka kadhaa ijayo China ataipiku USA tumeanza kuisikia muda mrefu lkn haifiki tuu.
Maana yangu ni kwamba Marekani hawezi kuikabili Urusi bila NATO na anachoweza kuikabili Urusi ni vikwazo tu.
Asipoelewa atakuwa na mind problemsWewe sasa ndo zuzu kabisa, kuwa wa kwanza kuunda vitu haimanishi huwezi kupitwa, china ashaanza unda ndege za abiria ila mpaka upewe kibali cha kuanza kuziuza kwa ajili ya usafirishaji kuna mchakato unapita, na unachukua miaka.
Ndehe za kivita ndo sasa katoa generation ya ndege zake ambazo wanasema ni superior kuliko hata ndege za kirusi.
China ndiyo nchi pekee duniani inayomiliki space station.
Ukitoa Marekani, na Urusi, China ndiyo one man show aliyeshusha vifaa mars. Hizo nchi za ulaya wana agency ya anga moja wanashirikiana.
Space station nyingine wanashirikiana russia, US, na nchi za ulaya.
Kwa roho mbaya ya marekani akataka wasimpe ruhusa china kuitumia hiyo space station, mchina akaona isiwe tabu ngoja nitengeneze yangu, na anayo na anazidi kuitanua iwe the biggest station huko angani.
Steve jobs aliwahi kuulizwa kwanini wanapenda kufanyia production china, jibu lake lilikuwa china ndo nchi ambayo ukitaka skilled labor ya watu wanaojua kitu flani, watajaa stadium, wakati US hawajai hata meza.
Speed ya China ya mabadiliko katika muda mfupi inatisha ni mabadiliko ya muda mfupi sana.
China ndiye mwenye train zenye speed kuliko train ya nchi yoyote, nadhan unajua kuhusu maglev technology, train inayoelea kwenye reli na kukimbia speed ya bullet.
US sasa anaigopa china ndo maana anahangaika na vikwazo kuipunguza speed navyo vina matokeo ya muda mfupi.
Huawei baada ya kuwekewa vikwazo, soon wanataka kuanza kuzalisha vifaa wenyewe kwa ajili ya electronics.
Kuna kampuni inadeal na mambo ya quantum computing mwaka jana imepata breakthrough, US kwa uoga kuwa ikifanikiwa inaweza hack na kubreak security zake kaipga vikwazo wakati ana makampuni kibao yanafanya research ya quantum computing.
Bado silaha, kala mfuatiliaji mwishoni mwa mwaka jana katest kifaa kikaenda into space kikarudi kwa speed kali sana lakini bado kikawa maneuvered kutua. Wataalam wa US wakashangaa maana hawana kifaa kama hicho, kifaa chochote kikiwa kwenye high speed from space kwenye reentry huwezi kukimaneuver kwa technology walionayo, iliwashangaza mchina kufanya hivyo. Na walikuwa hawajui ni kifaa cha kubeba wanaanga au silaha.
Baadae wanakuja kugundua ni kwa ajili ya vyote, inaweza tumika kubeba silaha au ikatumika kama rocket ya kupeleka vtu space.
Mchina anatengeneza drones, tena advanced drones za ulinzi.
It is a matter of time wale jamaa ni unstoppable.
Nawaogopa sana maana wakishakaa pale top kabisa wakatulia hii dunia itapata shida sana maana ni wanyonyaji haswa.