Huwezi amini lakini ukweli bila NATO, Marekani anaiogopa Sana Urusi

Thanks. Kwa hiyo una-justify uchumi wa China siyo innovative kama Marekani na kwamba hiyo design haiku-fit US future needs but China 🀣 πŸ™Œ
Cacopy na kafaidikaz now amejenga research centers za kutosha. Umeona mwaka jana tu mwishoni kampuni ya china ya research za quantum computing imetangaza breakthrough US kaipiga vikwazo. Unajua ni kwanini?
 
Sisomi story za vijiweni wala siko kwenye ushabiki. Bloombergy wenyewe wameitabiri China kumpita US by 2050, au nao ni kijiwe?
Kwa hiyo tunavyoongea sasa hivi US ipo juu ya China, siyo?
 
ukomunist haujafa na ndo unaenda kua strong kuliko hata nchi za kidemokrasia
Mkuu hu ni utabiri au hali halisi? China ana uchumi strong sana katika nchi zilizo kuaga za kikominist lakini wawekezaji wake wakubwa wote ni kutoka nchi za Magharibi, ndio hao wamiliki ya viwanda almost vyote vikubwa, computer za Dell, mabasi ya Youtong, simu za Iphone na zenyewe (hasa hizi zinazo uzwa huku Africa ) wana assemple China, sasa sijui nchi gani nyingine ya Kikoministi yenye uchumi imara!
 
history yako ya uchumi wa china inaanzia mwaka 2005 kuja juu wakati mimi yangu inaanzia 1934 kuja hadi leo.
ungelikuwa unajua ninachokijua mimi kuhusu uchumi wa china usingeliandika ulichokiandika.
furthermore uchumi wa china una sura na sifa nzima ya kibepali, hakuna ujamaa hata kidogo labda tu kwenye mgawanyo wa keki ya taifa ndiyo kuna ujamaa.

narudia tena, ukomunista wa china upo kwenye jina tu.
N/Korea ndiyo nchi pekee ya ujamaa dunian kwasasa.
 
MMH
 
usiseme awapige sema awapige tena maana kile kipigo alotoa kwa UKRAINE juu ya CRIMEA nadhani mpaka leo hii maumivu yake bado yapo sanaaah

usiseme awapige sema awapige tena maana kile kipigo alotoa kwa UKRAINE juu ya CRIMEA nadhani mpaka leo hii maumivu yake bado yapo sanaaa
Safi Sana,nadhani taarifa za Jimbo la Crimea kuchukuliwa alikua halijui,pia ajiandae kisaikolojia kuwa Donbas,Donesk na Luhansk yako njia kupewa Uhuru wake na Urusi toka kwa mkoloni wao Ukraine.
 
Ukitaka.kujua maana ya hiyo "lakini" basi Urusi iende kumega kipande cha ardhi huko Alaska kama jinsi ilivyoimega Crimea, hapo ndipo utajua America anaweza au hawezi.
Hoja yako Haina mashiko kabisa Rafiki.
Haya maneno yako yageuze hivi.
"Naye Marekani aende akamege kipande Cha ardhi huko vladvostok jinsi alivyoichukua Guam hapo ndio utajua Urusi anaweza au hawezi."
 
unakutupuka RUSSIA anafanya jambo kwamaslahi yake sasa akaimege ALASKA wakati haina maslahi nae
naukitaka kujua US hawezi nae mwambie akamege kipande chochote kwenye ardhi ya RUSSIA uone kitakachomkutia
Jibu linganifu kabisa hili.safi Sana.
 
China, Russia and etc. Chinese zaidi ya wizi wa technology, copy and paste hana ubunifu wowote wa maana. Russia amebakia tu kutegemea gas and etc.
Wizi wa technology ndio habari ya mjini (duniani)
Marekani aliiba Sana technology za German, Russian nk.
Russia aliiba Sana technology za Us German n.k.
Na nchi nyingine zinaendela kuibiana technology Hadi leo na hata kesho.
Espionage, espionage, espionage.
 
Hoja yako Haina mashiko kabisa Rafiki.
Haya maneno yako yageuze hivi.
"Naye Marekani aende akamege kipande Cha ardhi huko vladvostok jinsi alivyoichukua Guam hapo ndio utajua Urusi anaweza au hawezi."


Kama yangu haina mashiko yako itayapata wapi mashiko ??!!, kwani hoja yako ni kinyume tu cha hoja yangu.

yours is just a reverse of mine.
 
Lakini elewa kwamba Nato ni tawi tu la Marekani, na Marekani akiondoa ufadhilii wake pale hamna kitu chochote, na huo ndio ukubwa wenyewe wa Marekani.
Kingine ni kwamba kabla ya kutumia nyenzo kubwa lazima utumie nyenzo ndogo. Kama Marekani amemiliki uchumi wa dunia na ana uwezo wa kumwekea mtu yeyote vikwazo mpaka akasarenda ni kwa nini asitumie njia hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…