Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
Mzuka wana jamvi ?
Unakumbuka hali ya jukwaa la sports na influence ya Simba na Yanga Jf kwa ujumla kabla ya October 29 na kufungiwa ?
Ilikuwa mechi za ligi kuu tu watu wanashindana kuanzisha nyuzi na nyuzi la live mechi views na engagement ilikuwa kubwa sana mabishano na vibe la kutosha sasa hat nyuzi za live kuanzisha nadra sana na unawekea kukuta hazifiki reply 10.
Ukija kwenye jukwaa mada za uchambuzi na kucharuana wakina Labani og GENTAMYCINE ngara23 redio nk
Kwenye comments kuitana makolo , utopolo , dunduka nk wakina Scars Tate Mkuu Kalpana Shadeeya nk
Bado chambuzi feki Mwasibu Kipenzi Changu Chizi Maarifa na wengine . Ilikuwa ukija jukwaa la michezo mada zimeongozana watu kubishana , kuleta udaku nk lakini sasa jii kumepoa sana kama michezo imesimama nchini vile