Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,537
- 133,017
UhakikaNgoja turudi vizuri kuna watu watapoteana humu ,na manjesta hatunaga jambo dogoš

Hiyo si ni sticky thread ya tangia vita ianze threads nyingi zinazoanzishwa zinakuwa merged kuleChek mada ya vita ya Iran vs usa/Israel
Tanzania haitakaa irudi kama zamani kamwe, kama kulikuwa na mazuri ndio byebye, na kama yalikuwa mabaya basi hayatabaki kama yalivyokuwa hapo mmwanzoMzuka wana jamvi ?
Unakumbuka hali ya jukwaa la sports na influence ya Simba na Yanga Jf kwa ujumla kabla ya October 29 na kufungiwa ?
Ilikuwa mechi za ligi kuu tu watu wanashindana kuanzisha nyuzi na nyuzi la live mechi views na engagement ilikuwa kubwa sana mabishano na vibe la kutosha sasa hat nyuzi za live kuanzisha nadra sana na unawekea kukuta hazifiki reply 10.
Ukija kwenye jukwaa mada za uchambuzi na kucharuana wakina Labani og GENTAMYCINE ngara23 redio nk
Kwenye comments kuitana makolo , utopolo , dunduka nk wakina Scars Tate Mkuu Kalpana Shadeeya nk
Bado chambuzi feki Mwasibu Kipenzi Changu Chizi Maarifa na wengine . Ilikuwa ukija jukwaa la michezo mada zimeongozana watu kubishana , kuleta udaku nk lakini sasa jii kumepoa sana kama michezo imesimama nchini vile
Kaka niache kidogoš šMkuu mimi nili declare wazi kuwa sitoshabikia tena hizi timu wala kujihusisha kwenye mjadala wowote unaohusu haya makanjanja mpaka hapo baadaye nitapoona tupo kwenye right truck.
Ndio maana hunioni kwenye hizo mada, ila ukija EPL hususani ile timu ya nafasi ya 3 kwenye msimamo - hapo tutakesha kwasababu kwanza tuna Kunya
Na laliga kule utanikuta nakiwasha na wanangu kina Cesar Caspar kuna hydroxo shabiki wa Barca na Intelligent businessman huyu bado kidonda chake ni kibichi tumuache kwanza aendelee kuuguza, labda nimtaje Mbaga Jr
Watu wameanza kuvipotezea taratibu kadiri muda unavyoenda1.Simba na Yanga
2.Wasanii bongofleva na bongo muvi
3.Dini za mchongo
mitume/manabii/mapastor wa uongo..mafuta ya upako
4.kuzusha matukio kikombe cha babu loliondo,popobawa,..kushikwa bega kuibiwa nyeti,..nguvu za kiume..matukio ya kutengeneza kuhamisha mijadala.
5.Mazindiko kuwapumbaza kukimbiza mienge MWENGE
6.Machawa=wanafiki= njaa kali inayopelekea kujiuza+ kuuza utu wao.
Bonge Moja la referenceChek mada ya vita ya Iran vs usa/Israel
Kweli siku hizi hakuna mada za hovyo kama Zamani š šMimi mtazamo wangu ni tofauti kidogo kiufupi tangu jf ifungiwe uchangamfu wa uanzishashi wa mada na uchangiaji wa mada umepungua sana bila kujali ni jukwaa gani kiufupi majukwaa yote yamepooza sana sijui wachangiaji wengi waliuawa ni ngumu kujua ni kipi kinacho sababisha hili.
Jf ya sasa sio kama jf kabla ya kufungiwa imepooza mno japo kuwa imesaidia kupunguza mada za hovyo humu ndani.
It's true , Tz won't be the sameTanzania haitakaa irudi kama zamani kamwe, kama kulikuwa na mazuri ndio byebye, na kama yalikuwa mabaya basi hayatabaki kama yalivyokuwa hapo mmwanzo
Kweli kabisa šÆOktoba 29 kwa kiasi fulani imebadili sana fikra na mitazamo ya watanzania
Na aliizindua siku nzuri sana. Man utd vs arsenal halafu goli la ushindiKinachowauma sana sio jina, ni ile celebration yake baada ya ku score
Oya dogo adriz sasa ndio jina gani hilo kwenye hii ID šš š¤£šMzuka wana jamvi ?
Unakumbuka hali ya jukwaa la sports na influence ya Simba na Yanga Jf kwa ujumla kabla ya October 29 na kufungiwa ?
Ilikuwa mechi za ligi kuu tu watu wanashindana kuanzisha nyuzi na nyuzi la live mechi views na engagement ilikuwa kubwa sana mabishano na vibe la kutosha sasa hat nyuzi za live kuanzisha nadra sana na unawekea kukuta hazifiki reply 10.
Ukija kwenye jukwaa mada za uchambuzi na kucharuana wakina Labani og GENTAMYCINE ngara23 redio nk
Kwenye comments kuitana makolo , utopolo , dunduka nk wakina Scars Tate Mkuu Kalpana Shadeeya nk
Bado chambuzi feki Mwasibu Kipenzi Changu Chizi Maarifa na wengine . Ilikuwa ukija jukwaa la michezo mada zimeongozana watu kubishana , kuleta udaku nk lakini sasa jii kumepoa sana kama michezo imesimama nchini vile
Hakika huku uswahilini ndio bado kunan maamuma wanajadili huo ungese wa simba na yangaMzuka wana jamvi ?
Unakumbuka hali ya jukwaa la sports na influence ya Simba na Yanga Jf kwa ujumla kabla ya October 29 na kufungiwa ?
Ilikuwa mechi za ligi kuu tu watu wanashindana kuanzisha nyuzi na nyuzi la live mechi views na engagement ilikuwa kubwa sana mabishano na vibe la kutosha sasa hat nyuzi za live kuanzisha nadra sana na unawekea kukuta hazifiki reply 10.
Ukija kwenye jukwaa mada za uchambuzi na kucharuana wakina Labani og GENTAMYCINE ngara23 redio nk
Kwenye comments kuitana makolo , utopolo , dunduka nk wakina Scars Tate Mkuu Kalpana Shadeeya nk
Bado chambuzi feki Mwasibu Kipenzi Changu Chizi Maarifa na wengine . Ilikuwa ukija jukwaa la michezo mada zimeongozana watu kubishana , kuleta udaku nk lakini sasa jii kumepoa sana kama michezo imesimama nchini vile
Mimi sasa hivi ndo hata sijui ligi kuu inaendeleaje, kinara wa magoli ni nani. Mechi za hsimba na yanga nikizoangalia msimu na derby zao wenyewe na zile za caf champions league tuMkuu mimi nili declare wazi kuwa sitoshabikia tena hizi timu wala kujihusisha kwenye mjadala wowote unaohusu haya makanjanja mpaka hapo baadaye nitapoona tupo kwenye right truck.
Ndio maana hunioni kwenye hizo mada, ila ukija EPL hususani ile timu ya nafasi ya 3 kwenye msimamo - hapo tutakesha kwasababu kwanza tuna Kunya
Na laliga kule utanikuta nakiwasha na wanangu kina Cesar Caspar kuna hydroxo shabiki wa Barca na Intelligent businessman huyu bado kidonda chake ni kibichi tumuache kwanza aendelee kuuguza, labda nimtaje Mbaga Jr
Mimi mengi najikuta nayajua baada ya kuingia Insta na hiyo ni kwasababu tu ya Azamsports.Mimi sasa hivi ndo hata sijui ligi kuu inaendeleaje, kinara wa magoli ni nani. Mechi za hsimba na yanga nikizoangalia msimu na derby zao wenyewe na zile za caf champions league tu