Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
Kunya ni hatari , ni suala la muda tu kila mtu atanyewaMkuu mimi nili declare wazi kuwa sitoshabikia tena hizi timu wala kujihusisha kwenye mjadala wowote unaohusu haya makanjanja mpaka hapo baadaye nitapoona tupo kwenye right truck.
Ndio maana hunioni kwenye hizo mada, ila ukija EPL hususani ile timu ya nafasi ya 3 kwenye msimamo - hapo tutakesha kwasababu kwanza tuna Kunya
Na laliga kule utanikuta nakiwasha na wanangu kina Cesar Caspar kuna hydroxo shabiki wa Barca na Intelligent businessman huyu bado kidonda chake ni kibichi tumuache kwanza aendelee kuuguza, labda nimtaje Mbaga Jr
Bora nifuatilie epl kuliko upuuzi wa simba na Yanga zinazotumika kuwapumbaza watuMkuu mimi nili declare wazi kuwa sitoshabikia tena hizi timu wala kujihusisha kwenye mjadala wowote unaohusu haya makanjanja mpaka hapo baadaye nitapoona tupo kwenye right truck.
Ndio maana hunioni kwenye hizo mada, ila ukija EPL hususani ile timu ya nafasi ya 3 kwenye msimamo - hapo tutakesha kwasababu kwanza tuna Kunya
Na laliga kule utanikuta nakiwasha na wanangu kina Cesar Caspar kuna hydroxo shabiki wa Barca na Intelligent businessman huyu bado kidonda chake ni kibichi tumuache kwanza aendelee kuuguza, labda nimtaje Mbaga Jr
sababu ya vpn, na wengi humu hawapo Tz sasa habari za simba na yanga wanatoa wapiMzuka wana jamvi ?
Unakumbuka hali ya jukwaa la sports na influence ya Simba na Yanga Jf kwa ujumla kabla ya October 29 na kufungiwa ?
Ilikuwa mechi za ligi kuu tu watu wanashindana kuanzisha nyuzi na nyuzi la live mechi views na engagement ilikuwa kubwa sana mabishano na vibe la kutosha sasa hat nyuzi za live kuanzisha nadra sana na unawekea kukuta hazifiki reply 10.
Ukija kwenye jukwaa mada za uchambuzi na kucharuana wakina Labani og GENTAMYCINE ngara23 redio nk
Kwenye comments kuitana makolo , utopolo , dunduka nk wakina Scars Tate Mkuu Kalpana Shadeeya nk
Bado chambuzi feki Mwasibu Kipenzi Changu Chizi Maarifa na wengine . Ilikuwa ukija jukwaa la michezo mada zimeongozana watu kubishana , kuleta udaku nk lakini sasa jii kumepoa sana kama michezo imesimama nchini vile
Kwamba mada zingine zinazopata comments nyingi hazihitaji vpn Wala kuwa nje ya nchi, ila tukija kwa simba na Yanga ndo kuna vpn na kuwa nje ya nchi?sababu ya vpn, na wengi humu hawapo Tz sasa habari za simba na yanga wanatoa wapi
Kabla ya oct 29, wote mlikuwepo tanzania?sababu ya vpn, na wengi humu hawapo Tz sasa habari za simba na yanga wanatoa wapi
Ni mboga mboga huyo Achana naeKwamba mada zingine zinazopata comments nyingi hazihitaji vpn Wala kuwa nje ya nchi, ila tukija kwa simba na Yanga ndo kuna vpn na kuwa nje ya nchi?
Kwamba mwanzoni watu walikuwa nchini, ila ghafla wote wapo nje?
Mada gani zinazopata comments nyingi? Jukwaa la siasa kabla ya vpn ilikuwa ukipost habari za ccm au chadema, ndani ya lisaa moja comments mianne zishafikaKwamba mada zingine zinazopata comments nyingi hazihitaji vpn Wala kuwa nje ya nchi, ila tukija kwa simba na Yanga ndo kuna vpn na kuwa nje ya nchi?
Kwamba mwanzoni watu walikuwa nchini, ila ghafla wote wapo nje?
Chek mada ya vita ya Iran vs usa/IsraelMada gani zinazopata comments nyingi? Jukwaa la siasa kabla ya vpn ilikuwa ukipost habari za ccm au chadema, ndani ya lisaa moja comments minne zishafika
Lkn asaiv ukipost habari za ccm au chadema nakwambia hivi comments mia mbili zitatumia wiki moja kukamilika.
So habari za simba na yanga bado zina vibe kali sana kasoro humu jf sababu ya vpn.
Hata mm nimewaza hivi.Oktoba 29 kwa kiasi fulani imebadili sana fikra na mitazamo ya watanzania
Kinachowauma sana sio jina, ni ile celebration yake baada ya ku scoreKunya ni hatari , ni suala la muda tu kila mtu atanyewa
Kabisa manBora nifuatilie epl kuliko upuuzi wa simba na Yanga zinazotumika kuwapumbaza watu
Ngoja turudi vizuri kuna watu watapoteana humu ,na manjesta hatunaga jambo dogo😅Kinachowauma sana sio jina, ni ile celebration yake baada ya ku score
Hao hata humu nakanyagia sanaNi mboga mboga huyo Achana nae