Huwezi amini sasa hivi JF hakuna mada nyingi wala Vibe la Simba na Yanga kama zamani

Mpira ni ujinga wa kujitengenezea wenyewe tu.

Fight me on that.
 
Mpira ni ujinga wa kujitengenezea wenyewe tu.

Fight me on that.
Ujinga kivipi mkuu kwa kutumia vigezo vipi ?

Je , miziki na rap yenye maovu matusi , kuhamasisha ulevi , uzinzi , wizi , mihadarati uataweka kundi lipi ?
 
Kiufupi JF imepoteza mvuto ule uliokua nao 2020 kushuka chini.
Sijui tatizo ni nini?
 
Hata vibanda umiza vimeshafungwa vingi sana
 
Kivipi mpira ni ujinga wa kujitengenezea mwenyewe kama ulivyosema ?
Kwa sababu hautatui tatizo lolote unique ambalo haliwezi kuwa solved bila mpira.

It solves an artificial problem of one artificially created team winning against another artificially created team.

Using arbitrary rules chasing a ball.
 
Mimi sijawahi kushuhudia...
Uchaguzi unafanyika October....lakini bado unajadiliwa miezi sita mbele...Tena Kila siku...

Hata ukienda mitaani...haipiti siku mbili Kuna kitu utasikia ...October 29 balaa....

Serikali sijui kama itakuja kukiri kuwakosea Watanganyika kiasi kile...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…