Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Ndugu zangu kwenye jambo lolote unalofanya hutafanikiwa bila kuomba ndugu zangu.
Fanya hilo jambo unalofanya lakini omba sana.
Kila unaye mwona amefanikiwa katika jambo fulani anaomba sio kuombewa kuomba mwenyewe.
Na mkiristo anaye omba yeye kama yeye kuombea jambo lake ndio anafanikiwa.
Sawa unaomba unaombea jambo gani.
Kwanini wakiristo hawafanikiwi ni kwasababu wao hawaweki miguu miwili kwenye ukiristo miguu miwili.
Fanya biashara lakini omba pia ndugu yangu.
Fanya siasa lakini kumbuka hiyo nafasi kuna watu pia wanaihitaji kwa hiyo kama huombi wataichukua tu.
Hicho kiti cha ofisini kama hukiombei kitachukuliwa na mwingine.
Nakoreza wino:
NOTE: Kama huna hirizi kiunoni au mkononi alafu humwombi Mungu aliyeziumba Mingu na nchi kwa bidii tena kwa kumaanisha wewe umekwisha hapo sahau kufanikiwa.