mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu kama hichoHuko mbele miaka ijayo, hii kitu inaweza ikaja kumletea shida na hata akashtakiwa kwa unyanyasaji.
Upo sahihi mkuuHiii foto nape itamu cost maisha yake yote...
kwa kumdhalilisha na kudai fidia ya mamilioni au bilioni atachomokaje! Kumkanyaga ke kwenye makalio ni shambulio la aibu! atachomokaje kwa mfano!Huko mbele miaka ijayo, hii kitu inaweza ikaja kumletea shida na hata akashtakiwa kwa unyanyasaji.
Tamaduni za kudhalilisha hauwezi kuwa utetezi mbele ya sheria!! Hakuna utamaduni unaoruhusu kuvunja sheria!! Huyu kafanya shambulio la aibu kwa kukanyaga makalio ya wanawake (bila ridhaa yao) kwa kisingizio cha mila! Hapo asubiri mvua 30!!Mambo mengine kabla ya kupost uliza kwa wakubwa wako. Hizo ni taratibu za watu kwa tamaduni zao. Nimekuwekea picha ya Mama Mutale Nalumango ambaye ni Makamu wa Rais wa Zambia akiwa kampigia magoti Rais mstaafu Edgar Lungu kama ishara ya heshima kwa mkubwa walipokutana msibani. Na hapo kapiga goti mbele ya watu. Picha nyingine ni ya Rais Hichilema kampigia goti Chifu wa kabila flani huko kwao Zambia. Kwa hiyo hata Nape na hao kina mama ni taratibu zao za kimaisha washazoea usitake kuingilia tamaduni za watu.
Kupiga magoti na kukanyaga misambwada ya wake za watu ni tofauti kabisa. Nape alaaniwe duniani na mbinguniMambo mengine kabla ya kupost uliza kwa wakubwa wako. Hizo ni taratibu za watu kwa tamaduni zao. Nimekuwekea picha ya Mama Mutale Nalumango ambaye ni Makamu wa Rais wa Zambia akiwa kampigia magoti Rais mstaafu Edgar Lungu kama ishara ya heshima kwa mkubwa walipokutana msibani. Na hapo kapiga goti mbele ya watu. Picha nyingine ni ya Rais Hichilema kampigia goti Chifu wa kabila flani huko kwao Zambia. Kwa hiyo hata Nape na hao kina mama ni taratibu zao za kimaisha washazoea usitake kuingilia tamaduni za watu.