Huwezi kuamini kwenye siasa za bongo kuna miungu watu kiasi hiki

Huko mbele miaka ijayo, hii kitu inaweza ikaja kumletea shida na hata akashtakiwa kwa unyanyasaji.
 
Mambo mengine kabla ya kupost uliza kwa wakubwa wako. Hizo ni taratibu za watu kwa tamaduni zao. Nimekuwekea picha ya Mama Mutale Nalumango ambaye ni Makamu wa Rais wa Zambia akiwa kampigia magoti Rais mstaafu Edgar Lungu kama ishara ya heshima kwa mkubwa walipokutana msibani. Na hapo kapiga goti mbele ya watu. Picha nyingine ni ya Rais Hichilema kampigia goti Chifu wa kabila flani huko kwao Zambia. Kwa hiyo hata Nape na hao kina mama ni taratibu zao za kimaisha washazoea usitake kuingilia tamaduni za watu.
 

Attachments

  • IMG-20220508-WA0011.jpg
    54.7 KB · Views: 5
  • IMG-20220508-WA0013.jpg
    38.8 KB · Views: 5
Wala siyo huko mbele!! Hivi leo hii mtu akimshitaki
Huko mbele miaka ijayo, hii kitu inaweza ikaja kumletea shida na hata akashtakiwa kwa unyanyasaji.
kwa kumdhalilisha na kudai fidia ya mamilioni au bilioni atachomokaje! Kumkanyaga ke kwenye makalio ni shambulio la aibu! atachomokaje kwa mfano!
 
Tamaduni za kudhalilisha hauwezi kuwa utetezi mbele ya sheria!! Hakuna utamaduni unaoruhusu kuvunja sheria!! Huyu kafanya shambulio la aibu kwa kukanyaga makalio ya wanawake (bila ridhaa yao) kwa kisingizio cha mila! Hapo asubiri mvua 30!!
 
Uzi wa Nne au watano Ukiwa na Picha hiyo hiyo na matusi yale yale kwa lugha tofauti.

Max Melo Atizame hili.
 
Kupiga magoti na kukanyaga misambwada ya wake za watu ni tofauti kabisa. Nape alaaniwe duniani na mbinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…