Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua ukiingalia sana hii picha; kwanza huchoki. Pili inakufanya ujiulize maswali mengi kweli.
a. Ile nyumba pale pembeni ina umeme?
b. Je nikiwanda kidogo?
c. Huu muda wa nyaya kucheza wanautoa wapi?
d. Je yawekana kuna umeme wowote? Kama upo, kucheza kwao kunaathiri vipi upatikanaji wake?
e. Kwanini hizo nguzo kubwa mbili zimekubali kucheza na hako kanguzo kadogo?
f. Hilo li nguzo likubwa pembeni kwanini halikatazi hizo nguzo kufanya "mchezo"?
g. Je wakitoka hapo wanaweza kuwa wanaenda kucheza michezo mingine kama "tiari bado", "kombolela", "tule tumbakishie baba", "rede", "kioo kiooo" n.k?
Sio lazima ku-post na haujalazimishwa kama unaona inakukera piga kimya halafu unasepa ukachangie thread zingineMwanakijiji nilikuwa na kuheshimu sana lakini kwa hii post yako nimekutoa thamani.Unatakiwa uwaze na uandike mambo muhimu na si u.puu.zi. kama huu.
mods peleka p.u.mba.hizi kule kwenye jukwaa la jokes au mpigeni BAN huyu Mwanakijiji.Aache UCDM wake.
kaka unalaana walai mpka basi tumecheka nahisi kufungulia maana nilikuwa na saumu ya kujivua gamba dhambi zangu wiki hii aisee we mwisho angalia ngeleja asiione hii![]()
Wengine wataaamua kama tutafika!!
Mwanakijiji nilikuwa na kuheshimu sana lakini kwa hii post yako nimekutoa thamani.Unatakiwa uwaze na uandike mambo muhimu na si u.puu.zi. kama huu.
mods peleka p.u.mba.hizi kule kwenye jukwaa la jokes au mpigeni BAN huyu Mwanakijiji.Aache UCDM wake.
![]()
Wengine wataaamua kama tutafika!!
Tuukimbize umeme na sisi...Wengine wataaamua kama tutafika!!