Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
Kocha wa zamani wa Vilabu vya mtibwa sugar, na kagera sugar MECKY MEXIME amesema katika dirisha hili la usajili klabu ya YANGA imefanya usajili kimbinu na kuzingatia zaidi uweledi na sio ushamba kuonekana unajaza wachezaji wasio na faida.
Watazame YANGA kwa jicho la tatu utagundua kwanza wamepitisha panga hasa kwa kuwatoa wachezaji wasioendana na falsafa ya mwalimu pia wachezaji wengine walikuwa mizigo mizito tu kwa klabu bila sababu--mexime
Watazame Simba Sasa hawajui hata wanalofanya Kuna wachezaji pale rundo na ambao msimu uliomalizika hakuna la maana walilofanya wamechoka na wamezeeka na Simba wenyewe wanajua Hilo Ila Wana vigugumizi eti kuvunja mikataba wanashindwa Ni ubabaishaji tu kwenye soka- Mexime
Kuwaacha waendelee kikosini wachezaji waliokosa mipango Ni hatari sana Hawa ndo huwa wanageuka na kuwa wachawi kuroga na kuzuru wachezaji vijana wanaoperfom ili wapate nafasi ya kucheza- Mexime
Nimecheza mpira nayajua haya siongei kufurahisha genge bro, Simba watatafuta mchawi na hawatampata sababu ya kurundika mizigo yao pale, YANGA ujinga huo wameachana nao na ukiwatizama unaona kabisa wanaelekea wapi ndo soka la kisasa linataka mipango Kama ya YANGA- Mexime.
Unaanzaje kumbeza BIGIRIMANA mtu amecheza ulaya EPL siyo wa kawaida huyo Ana kitu huyu, Joyce Mutambala beki Bora Afrika ametajwa kwenye kikosi Bora Cha CAF wenyewe miaka kadhaa nyuma, hao Ni baadhi tu Sasa angalia Simba timu ipo pre season bado unafanya "Ana Ana Dooo" za usajili lini timu itanconcentrate na program za mwalimu? Mexime
MWANANCHI UMEMSIKIA MECKY HUKO???JE AONGEZEWE ULINZI AU AACHWE TU