Huwezi kubeza usajili wa Yanga kama una akili timamu - Meck Mexime

Song of Solomon

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2021
Posts
2,752
Reaction score
5,609
Kocha wa zamani wa Vilabu vya mtibwa sugar, na kagera sugar MECKY MEXIME amesema katika dirisha hili la usajili klabu ya YANGA imefanya usajili kimbinu na kuzingatia zaidi uweledi na sio ushamba kuonekana unajaza wachezaji wasio na faida.

Watazame YANGA kwa jicho la tatu utagundua kwanza wamepitisha panga hasa kwa kuwatoa wachezaji wasioendana na falsafa ya mwalimu pia wachezaji wengine walikuwa mizigo mizito tu kwa klabu bila sababu--mexime

Watazame Simba Sasa hawajui hata wanalofanya Kuna wachezaji pale rundo na ambao msimu uliomalizika hakuna la maana walilofanya wamechoka na wamezeeka na Simba wenyewe wanajua Hilo Ila Wana vigugumizi eti kuvunja mikataba wanashindwa Ni ubabaishaji tu kwenye soka- Mexime

Kuwaacha waendelee kikosini wachezaji waliokosa mipango Ni hatari sana Hawa ndo huwa wanageuka na kuwa wachawi kuroga na kuzuru wachezaji vijana wanaoperfom ili wapate nafasi ya kucheza- Mexime

Nimecheza mpira nayajua haya siongei kufurahisha genge bro, Simba watatafuta mchawi na hawatampata sababu ya kurundika mizigo yao pale, YANGA ujinga huo wameachana nao na ukiwatizama unaona kabisa wanaelekea wapi ndo soka la kisasa linataka mipango Kama ya YANGA- Mexime.

Unaanzaje kumbeza BIGIRIMANA mtu amecheza ulaya EPL siyo wa kawaida huyo Ana kitu huyu, Joyce Mutambala beki Bora Afrika ametajwa kwenye kikosi Bora Cha CAF wenyewe miaka kadhaa nyuma, hao Ni baadhi tu Sasa angalia Simba timu ipo pre season bado unafanya "Ana Ana Dooo" za usajili lini timu itanconcentrate na program za mwalimu? Mexime

MWANANCHI UMEMSIKIA MECKY HUKO???JE AONGEZEWE ULINZI AU AACHWE TU
 
Aongezeweee.
 
Nadhani MAKOLO wanakitu cha kujifunza
 
Kagere, Mugalu na Wawa wote wanaondoka, atakayebaki hapo ni Bocco ambaye wamemuonea aibu kwa kuwa mzawa ili mwakani na yeye pia ni either wampe majukumu ya kiutawala na uongozi ( sio mchezaji) au wakubali kumuaga.
 
Kwani yanga imefanya usajili gani zaidi ya Azizi Ki.

Unavosema usajili hakikisha neno pesa linakuwa kipaumbele zaidi huo sio Usajili bali ni mwaliko tu
 
Mexime ni yanga lialia
IMG-20220728-WA0006.jpg

Huyu nae ni Yanga lia lia?
 
Back
Top Bottom