Hiyo ni character assassination.
Tangu Lissu atangaze nia ya kugombea sijawahi kumsikia akiwapongeza viongozi wenzake waliopo as if hakuna kitu walichofanya, yeye ni lawama tu.
Lissu angekuwa na ustaarabu hata robo, angeanza kwanza kwa kupongeza juhudi zilizofanywa na mtangulizi wake Mbowe kwa miaka 33 hadi kukifikisha chama kilipo, then angeingiza sera zake.
Unapoanza kuwapaka matope viongozi uliowakuta na kudharau mipango ya chama unachotaka kukiongoza definitely unakosa halali wa kuwa kiongozi bora.
Lissu akubali kakosea, gia aliyoingia nayo siyo na kama kuna mtu alimshauri hivyo kampotosha, na akiendelea kushupaza shingo atakosa hata kidogo alichonacho.