Huwezi kugombea Kiti kwa kumpaka matope mwenye Kiti, utapoteza hata kidogo ulichonacho

Huwezi kugombea Kiti kwa kumpaka matope mwenye Kiti, utapoteza hata kidogo ulichonacho

Endeleeni kufanya Siasa za Kistaarabu huku mkiambulia kura asilimia 0.87 Serikali za Mitaa wakati wenzenu CCM ikipata ushindi wa kishindo wa asilimia 99 🤗
Kama unataka kura nyingi 99% jiunge na akina mchengerwa wa CCM hata mkitaka asilimia 100 mnazipata tu.
 
CHADEMA imekuwa ya Kipuuzi sana, Na kama asiposhinda Lissu basi ndo itakuwa mwisho wa CHADEMA.
 
Mie naona hao drama 🤣🤣🤣🤣tu wameweka wapate attention ya wananchi then.............. Walete walichopanga iwe mshituko tena ati wanatoa 🤣🤣🤣🤣

Iweje Mwenyekiti (na wenye Chama) wasimsishushe cheo Makamu wake hadi leo au kufanya lolote aache kupiga mdomo wake tangu aanze.

Sijui katiba yao kutoana kukoje ila Mkiti angesukuma iwe hivyo tanguuuuuu kwa njia yoyote.

CHADRAMA

Nawaonea huruma mnaojipiga wa navyotaka kuwa jadili asubuhi hadi asubuhi.. hadi mmoja humu jana eti maisha sijui nini kisa chama hiki..

Mie 🍿🍿🍿
Seriously huwa sielewi unaandikaga utoto gani.
 
Lissu aliingia kupima upepo kwa kutangaza anayoita Mageuzi makubwa ndani ya chama - sasa wana CDM hawako hivyo kwamba hata kwa mabaya aliyofanya Mbowe anza basi walau kupongeza kazi nzuri ya Viongozi wenzako, baada ya hapo ndiyo utoe tamka unalotaka kusema.

Kifupi hakutoa tamko la nia bali yake yalikuwa ni mashambulizi na specifically kwa Mbowe.

Sasa Demokrasia itaamua CDM itaongozwa na nani.
 
Kama unataka kura nyingi 99% jiunge na akina mchengerwa wa CCM hata mkitaka asilimia 100 mnazipata tu.
Hakika, nami nitajiunga nao soon kuelekea Uchaguzi Mkuu Mwakani
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Lissu aliingia kupima upepo kwa kutangaza anayoita Mageuzi makubwa ndani ya chama - sasa wana CDM hawako hivyo kwamba hata kwa mabaya aliyofanya Mbowe anza basi walau kupongeza kazi nzuri ya Viongozi wenzako, baada ya hapo ndiyo utoe tamka unalotaka kusema.

Kifupi hakutoa tamko la nia bali yake yalikuwa ni mashambulizi na specifically kwa Mbowe.

Sasa Demokrasia itaamua CDM itaongozwa na nani.
Walimdanganya apime kina cha maji ya mto kwa miguu
 
Back
Top Bottom