Huwezi kugombea Kiti kwa kumpaka matope mwenye Kiti, utapoteza hata kidogo ulichonacho

Endeleeni kufanya Siasa za Kistaarabu huku mkiambulia kura asilimia 0.87 Serikali za Mitaa wakati wenzenu CCM ikipata ushindi wa kishindo wa asilimia 99 🤗
Kama unataka kura nyingi 99% jiunge na akina mchengerwa wa CCM hata mkitaka asilimia 100 mnazipata tu.
 
CHADEMA imekuwa ya Kipuuzi sana, Na kama asiposhinda Lissu basi ndo itakuwa mwisho wa CHADEMA.
 
Seriously huwa sielewi unaandikaga utoto gani.
 
Lissu aliingia kupima upepo kwa kutangaza anayoita Mageuzi makubwa ndani ya chama - sasa wana CDM hawako hivyo kwamba hata kwa mabaya aliyofanya Mbowe anza basi walau kupongeza kazi nzuri ya Viongozi wenzako, baada ya hapo ndiyo utoe tamka unalotaka kusema.

Kifupi hakutoa tamko la nia bali yake yalikuwa ni mashambulizi na specifically kwa Mbowe.

Sasa Demokrasia itaamua CDM itaongozwa na nani.
 
Kama unataka kura nyingi 99% jiunge na akina mchengerwa wa CCM hata mkitaka asilimia 100 mnazipata tu.
Hakika, nami nitajiunga nao soon kuelekea Uchaguzi Mkuu Mwakani
 
Reactions: G4N
Walimdanganya apime kina cha maji ya mto kwa miguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…