Huwezi kuichafua oil chafu, itakuchafua. RIP Dkt. Magufuli

Mwizi wa pesa za watanzania,yani kibaka,jambazi sugu kaburi lake liistahili urefu wa 1km kwenda chini
 
Unataka kwenye ripoti ya CAG namo kuwe na sehemu ya kuonesha mafanikio ya Magufuli?
Kweli wewe ni member wa kile kikundi
SUKUMA gang.
 
Reactions: BAK
Tuondolee upumbavu wako hapa!!!
 
Umeisoma report yote? Na je umeshawahi kusoma report zingine za miaka ya nyuma? Kama umeshawahi kuzisoma sidhani kama ungekuja na hitimisho hili.
 
Pumbavu aliyekuambia kazi ya Report za CAG au audit report ni kusifia nani ?
 
Hata kuondolewa kwa Bashiru Ikulu hii ni mipango ilikuwa imeandaliwa,walianza kwa kumchafua sana lakin sasa hivi huwezi sikia wanamwongelea sababu lengo lao limeshatimia!
We pimbi kaa kimya unakumbuka bimkubwa alienda tanga jiulize nani alipanga safari na ilikuaje acha kutetea watu usio waelewa
 
Ila hawataweza,Ukweli utajulikana tu.
Msitukumbushe waliompiga risasi TL, wakawaua kina Akwilina, Mawazo nk. Haikutosha wakawapoteza kina Ben Saanane, Azory Gwanda na maiti za kwenye viroba... msitusahaulishe kijana aliyepiga picha nyufa za hosteli... hatujasahau kwanini bunge live lilizimwa na chaguzi ovu zilizofuatia ikiwemo manunuzi ya wanasiasa malaya...
 
Hivi kwanini mnamchukulia magu kama mungu wenu!! Kiasi kwamba pamoja na kwamba hayupo, ila bado mnamtetemekea!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatumchukulii Kama mungu ila tunaheshimu Mambo mazuri aliyafanya kwenye kipindi chake Yale mabaya tunamsamehe alikua no binadamu lakini hatutaki kumuhukumu hata wewe ukiwa Rais hautowafurahisha wote mkuu
 
Umeisoma report yote? Na je umeshawahi kusoma report zingine za miaka ya nyuma? Kama umeshawahi kuzisoma sidhani kama ungekuja na hitimisho hili.
Mkuu wewe unategemea aseme nini wakati sasa hivi suluali zinawadondoka tu?
 
Hatumchukulii Kama mungu ila tunaheshimu Mambo mazuri aliyafanya kwenye kipindi chake Yale mabaya tunamsamehe alikua no binadamu lakini hatutaki kumuhukumu hata wewe ukiwa Rais hautowafurahisha wote mkuu
Mtajikomba mpaka kwenye kaburi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…