Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Siyo wakenya ni tofauti Sana na wananchi wa nchi nyingine Afrika bali angalau wao Kila wakati wanaweka rekodi kuelekea jamii huru na yenye watu wenye
Aisee...Wakenya wako hatua ya mwisho ya evolution kuwa binadamu kamili
Kwa ivo Hilo tu ndilo linalofanya tusifanane baada ya Uhuru wetu zaidi ya miaka 60 iliyopita!!??Kikubwa hao walipata uhuru kwa kupambana ,huku uhuru ulipatikana mezani, like father like son🦅
Huku ugali bado wakutosha,,,rukaruka ila uhakika wa mlo bado unaoKwa ivo Hilo tu ndilo linalofanya tusifanane baada ya Uhuru wetu zaidi ya miaka 60 iliyopita!!??
Dah yani kuwatoa ushindwe sawa,, ila na pesa zao usizile jamani, kula lazima ila kura tutajuana mbele kwa mbeleKuachana na ccm tu..ni ngumu sana kutambua mbongo anataka nini..? Muda wote ana shida ukijaribu kumtatulia atakubeza tena.,,kwa kifupi kila mtu abebe msalaba wake na familia yake...ikifika uchaguz vijana utazani wanaishi America..,full uchawa
Hoja madhubuti Sana hii...Huku ugali bado wakutosha,,,rukaruka ila uhakika wa mlo bado unao
Ukitaka kuona ubongo wa mtu unavyofanya kazi acha njaa kwanza impige ila kama hana njaa atabaki vilevile, Kenya ukicheza ovyo kupiga desh siku nzima kawaida.....Hoja madhubuti Sana hii...