steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Salute sanaSiyo kwamba Wakenya ni tofauti Sana na wananchi wa nchi nyingine Afrika bali angalau wao Kila wakati wanaweka rekodi kuelekea jamii huru na yenye watu wenye utimamu wa akili.
Hebu jiulize:
Vyuo Vikuu vya Kenya vimezalisha kizazi cha Gen Z kilicho makini na chenye kupigania usawa kwenye nchi yao. Wakati vyuo vikuu vya Tanzania vinazalisha watu wa aina ya Mwijaku..
Mahakama ya Kenya iliwahi kufuta uchaguzi wa Rais, hapa kwetu mahakama imechukua miaka zaidi ya mitatu kujua tu Kama kina Halima Mdee wapo kisheria Bungeni ama lah!
Ukiona unafurahia CCM kuwepo madarakani, jua wewe ni yule mmoja kati ya wale watanzania wanne.