Siyo kwamba Wakenya ni tofauti Sana na wananchi wa nchi nyingine Afrika bali angalau wao Kila wakati wanaweka rekodi kuelekea jamii huru na yenye watu wenye utimamu wa akili.
Hebu jiulize:
Vyuo Vikuu vya Kenya vimezalisha kizazi cha Gen Z kilicho makini na chenye kupigania usawa kwenye nchi yao. Wakati vyuo vikuu vya Tanzania vinazalisha watu wa aina ya Mwijaku..
Mahakama ya Kenya iliwahi kufuta uchaguzi wa Rais, hapa kwetu mahakama imechukua miaka zaidi ya mitatu kujua tu Kama kina Halima Mdee wapo kisheria Bungeni ama lah!
Ukiona unafurahia CCM kuwepo madarakani, jua wewe ni yule mmoja kati ya wale watanzania wanne.
Ukiona unafurahia CDM kuongozwa na Div 0 ya Form 6, jua kabisa wewe ni pumbaf, kihiyo, zero brain, empty minded..!!
Kenya umeona walivyoharibu nchi yao na hakuna nchi Africa ina corruption kama Kenya, tena ishukuru sana CCM.
CCM imekupa uhuru, unaongea mitandaoni utakavyo, kwa furaha zako, saa hizi uko huru kwa amani tena una fanya utakalo, shukuru sana, bila CCM ungekuta saa hizi uko barabarani miguu mitupu, unakimbia, huna amani, usalama wa maisha yako haupo, njaa, ungekuwa hata kujua familia yako iko wapi usingejua, ungekuwa kama Sudan, Somalia, CAR, Mali, Gabon, Libya, Burkina Faso, Misri, Eretria, huko kote amani haipo kabisa, usifikiri wao hawataki amani na kuishi kwa uhakika, walikosea, walikuwa na akili kama zako za CHADEMA
Hivyo, ishukuru sana CCM na iombee kwa Mwenyezi Mungu, sisemi CCM is the perfect political party, no, ina matatizo yake kama Chama kingine chochote cha siasa duniani, hakuna Chama kiko perfect, but tukiangalia hali yetu na majirani zetu, sisi CCM NDIO MFANO BORA KABISA WA KUIGWA BARANI AFRICA NA NCHI ZINGINE DUNIANI, najua sbb hujatembea nchi mbalimbali duniani, huna exposure, uko narrow minded in practical politics za kujua uhalisia, unacheki You Tube, TV, online, unajua labda sisi Tz tuko vibaya sana, kumbe hujui mambo vema..
Ishukuru CCM na Serikali yake sana, leo usingekuwa hata humu una chat, nakwambia kabisa