Kitu muhimu sasa kwa watanzania siyo vyama, ni kujielewa, kujua haki zao na wajibu wao.Kuachana na ccm tu..ni ngumu sana kutambua mbongo anataka nini..? Muda wote ana shida ukijaribu kumtatulia atakubeza tena.,,kwa kifupi kila mtu abebe msalaba wake na familia yake...ikifika uchaguz vijana utazani wanaishi America..,full uchawa
Tunawakaribisha sana wakenya! Watz ni maiti! Jomo Kenyatta'voice!Vijana wa kenya waje Tanzania na tuwape uraia fasta
Wanafaa sana... Salute kwao.
Dogo kwanini wewe usilianzishe ukawa sole Tanzanian Gen Z? Au na wewe ni zao lilelile la akina Mwijaku? Ahahahahaha!!!Siyo kwamba Wakenya ni tofauti Sana na wananchi wa nchi nyingine Afrika bali angalau wao Kila wakati wanaweka rekodi kuelekea jamii huru na yenye watu wenye utimamu wa akili.
Hebu jiulize:
Vyuo Vikuu vya Kenya vimezalisha kizazi cha Gen Z kilicho makini na chenye kupigania usawa kwenye nchi yao. Wakati vyuo vikuu vya Tanzania vinazalisha watu wa aina ya Mwijaku..
Mahakama ya Kenya iliwahi kufuta uchaguzi wa Rais, hapa kwetu mahakama imechukua miaka zaidi ya mitatu kujua tu Kama kina Halima Mdee wapo kisheria Bungeni ama lah!
Ukiona unafurahia CCM kuwepo madarakani, jua wewe ni yule mmoja kati ya wale watanzania wanne.
MKUU HATA UKIWA NA MKE MSUMBFU UKIAMUA KUTKKA NJE TAFUTA MZURI ZAIDI YAKESiyo kwamba Wakenya ni tofauti Sana na wananchi wa nchi nyingine Afrika bali angalau wao Kila wakati wanaweka rekodi kuelekea jamii huru na yenye watu wenye utimamu wa akili.
Hebu jiulize:
Vyuo Vikuu vya Kenya vimezalisha kizazi cha Gen Z kilicho makini na chenye kupigania usawa kwenye nchi yao. Wakati vyuo vikuu vya Tanzania vinazalisha watu wa aina ya Mwijaku..
Mahakama ya Kenya iliwahi kufuta uchaguzi wa Rais, hapa kwetu mahakama imechukua miaka zaidi ya mitatu kujua tu Kama kina Halima Mdee wapo kisheria Bungeni ama lah!
Ukiona unafurahia CCM kuwepo madarakani, jua wewe ni yule mmoja kati ya wale watanzania wanne.
Siyo kwamba Wakenya ni tofauti Sana na wananchi wa nchi nyingine Afrika bali angalau wao Kila wakati wanaweka rekodi kuelekea jamii huru na yenye watu wenye utimamu wa akili.
Hebu jiulize:
Vyuo Vikuu vya Kenya vimezalisha kizazi cha Gen Z kilicho makini na chenye kupigania usawa kwenye nchi yao. Wakati vyuo vikuu vya Tanzania vinazalisha watu wa aina ya Mwijaku..
Mahakama ya Kenya iliwahi kufuta uchaguzi wa Rais, hapa kwetu mahakama imechukua miaka zaidi ya mitatu kujua tu Kama kina Halima Mdee wapo kisheria Bungeni ama lah!
Ukiona unafurahia CCM kuwepo madarakani, jua wewe ni yule mmoja kati ya wale watanzania wanne.
Tuitoe CCM tuweke chama gani?Siyo kwamba Wakenya ni tofauti Sana na wananchi wa nchi nyingine Afrika bali angalau wao Kila wakati wanaweka rekodi kuelekea jamii huru na yenye watu wenye utimamu wa akili.
Hebu jiulize:
Vyuo Vikuu vya Kenya vimezalisha kizazi cha Gen Z kilicho makini na chenye kupigania usawa kwenye nchi yao. Wakati vyuo vikuu vya Tanzania vinazalisha watu wa aina ya Mwijaku..
Mahakama ya Kenya iliwahi kufuta uchaguzi wa Rais, hapa kwetu mahakama imechukua miaka zaidi ya mitatu kujua tu Kama kina Halima Mdee wapo kisheria Bungeni ama lah!
Ukiona unafurahia CCM kuwepo madarakani, jua wewe ni yule mmoja kati ya wale watanzania wanne.
💯%Watanzania wengi ni mazezeta
This is a very big mis guidanceSiyo kwamba Wakenya ni tofauti Sana na wananchi wa nchi nyingine Afrika bali angalau wao Kila wakati wanaweka rekodi kuelekea jamii huru na yenye watu wenye utimamu wa akili.
Hebu jiulize:
Vyuo Vikuu vya Kenya vimezalisha kizazi cha Gen Z kilicho makini na chenye kupigania usawa kwenye nchi yao. Wakati vyuo vikuu vya Tanzania vinazalisha watu wa aina ya Mwijaku..
Mahakama ya Kenya iliwahi kufuta uchaguzi wa Rais, hapa kwetu mahakama imechukua miaka zaidi ya mitatu kujua tu Kama kina Halima Mdee wapo kisheria Bungeni ama lah!
Ukiona unafurahia CCM kuwepo madarakani, jua wewe ni yule mmoja kati ya wale watanzania wanne.
Pole zezetaWatanzania wengi ni mazezeta sababu kubwa ni CCM.
Nyerere aliangamiza hi nchi kwa ujamaa uchwara.
Mkapa na Kikwete wakairudisha nchi kwenye reli, akaja Magufuli ndyo akaizika kwa udikteta uchwara.
Ukifanya tasmini ya haraka majimbo yaliyokuwa yanaongozwa na upinzan yalipata mwamko wa maendeleo