Huwezi kujua ubaya wa kutawaliwa na CCM mpaka ujue kinachoendelea Kenya

Salute sana
 
🎯🎯🎯πŸ’₯
 
Siyo kwamba Wakenya ni tofauti Sana na wananchi wa nchi nyingine Afrika bali angalau wao Kila wakati wanaweka rekodi kuelekea jamii huru na yenye watu wenye utimamu wa akili.
Hizo sababu chache zinawatofautisha kwa umbali sana na waTanzania.
 
Mkuu acha kufananisha Nchi na kijiji.
 
Hata wewe siku ukitoka huko uliko utasema CCM wabaya sana na hv na vile ili uwafurahishe unakokwenda pengine upate uteuzi kama haujateuliwa. Hata siku ndoa yako ikikushinda utamsema mwenzio mabaya yake hata kama hayapo ili watu wakuone bora. Hautasema baya lako hata moja. Ndo Msigwa alikuwa ameshalamba dau ulitaka asemeje?. Na dhambi hiyo itamtafuna. Na anajua na anajutia unafiki wake. WOKOVU SIYO MCHEZO. "Shina la mabaya ya kila aina ni kupenda pesa" CCM alikoenda hakuna rushwa? Ataikomesha?
 
that's politics sπŸ’

politics is all about interests πŸ’
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…