Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Katiba: matokeo ya Rais hayawezi kuhojiwa katika mahakama yoyote.
Tume hata ikifanya uchafu gani haishitakiwi.
Sheria: wanaita sheria mpya, Chukua mfano wa upatikanaji wa Mwenyekiti, mkurugenzi na makamishina.
Je Mwenyekiti Mwambegele, Mkurugenzi Kailima na makamishina wakina Mapuri wamepatikanaje?
Kanuni 16: wakala haruhusiwi kuingia na simu kwenye kituo, Mkurugenzi au msimamizi ndio anaamua nani awe wakala wako au asiwe na kituo atakachosimamia.
Njia pekee ya kukomesha uhuni na dharau kwa kura ya wananchi ni #NoRefomsNoElection
Na hapo hatujazungumza mauaji, vipigo, polisi kuumiza kuteka, hatujasema kuondolewa wagombea.
Yeyote anaeshabikia na kutetea mfumo huu wenye uchafu anafanya kazi ya ccm ni kibaraka wa kusafisha uchafu wa wazi wa ccm.