Huwezi kumiliki/ kumilikishwa/ kuendesha LC 300 kama hutumii nguvu za giza

Mkuu, kuna watu wamepata teuzi huko ,kuna ma ceo wa makampuni hizo LC 300 wanapewa .

Pia kuna watu Mungu kawanyooshea mkono tu LC300 hadi mil 350 zipo ,na hio ni hela ya kawaida ,sema hujazishika tu.

Mtu anaemiliki hio gari kakatia bima kubwa na anauwezo wa kumiliki hio na zaidi ,hana shida kumpa dereva .


Ushirikina upo ,pia neema za Mungu zipo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…