huwezi kupingana na ukweli,,

huwezi kupingana na ukweli,,

ulimbo lunopo

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
243
Reaction score
39
hata siku moja huwezi kumfnanisha nik mbish na nik wa pili,,nik mbish ni mwana hiphopanayefanya hiphop kwa kuzingatia mising ya hiphop.. Fuatilia ngoma kama IMAGE,PUNCHLINE n,k.JAMAA ANAWEZA KUANDIKA, ANAFREESTYLE, STYLE NYING ZA KUTOSHA..lakini uyu kilaza nik wa pili inaonekana hajui ata mising ya hiphop,,,mistar ya kuunga unga kama ya izo b,,JAMANI HIP HOPHOP INA NGUZO,,,, angalau kwa sasa huyu jamaa anazifuata,, kep it up bro,,TAMADUNI MUSIC
 
nikki wa pili yuko vizuri...good boy...nikki mbishi na nikki wa pili wako katika kiwango kimoja....labda ungesema mbishi zaidi ya bonta hapo sawa...
 
Back
Top Bottom