ulimbo lunopo
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 243
- 39
hata siku moja huwezi kumfnanisha nik mbish na nik wa pili,,nik mbish ni mwana hiphopanayefanya hiphop kwa kuzingatia mising ya hiphop.. Fuatilia ngoma kama IMAGE,PUNCHLINE n,k.JAMAA ANAWEZA KUANDIKA, ANAFREESTYLE, STYLE NYING ZA KUTOSHA..lakini uyu kilaza nik wa pili inaonekana hajui ata mising ya hiphop,,,mistar ya kuunga unga kama ya izo b,,JAMANI HIP HOPHOP INA NGUZO,,,, angalau kwa sasa huyu jamaa anazifuata,, kep it up bro,,TAMADUNI MUSIC