NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #41
Mashujaa Simba Kama wanavyojiitaHakunaga shujaa aliyeshindwa
Kaa kwa kutulia mkuuSi mbumbumbu wenzio wanampango huo wakutoa kongoleee kwa mashujaa wao
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Si ndiyo mlisema kuwa wale ni level yenu Sasa leo Tena mna kataa Nini.Fala kweli wewe ulidhani wale ni Rivers United wale ni Wydad Mabingwa watetezi acha ujinga!!
Hakuna cha kupanic hapa bali nyinyi mashabiki wa yanga mna akili za kipumbavu unasema simba ni mbovu kisa kutolewa robo fainal klabu bingwa hali ya kuwa timu yako kwenye hayo mashindano ilitolewa raundi ya pili ya mashindano, sasa nani mbovu kati ya aliye ishia robo na ailiye shindwa hata kufika makundi?Bwana ITR umepaniki..!! Haiwaongezi chochote zaidi ya kupata bichwa ambalo hakuna mtakakolitumia
Ilikuwaje ukafika kwenye hayo mashindano unayo shiriki sasa hivi hali yakuwa ulikuwa kwenye mashindano ambayo Simba alikuwa anashiriki?Uliporoga kwa moto na ukapigwa faini kwa uchawi nje ya nchi, ilikuwa kwenye mashindano gani..!!??
Kwani aliye liita kombe la loosers ni Simba au ni huyo mropokaji wenu na nyinyi mazezeta mkamuunga mkono iweje sasa hivi liwe kombe la maana?Au Kuna kombe la loosers.??
Ngoja yanga iwafundishe namna yakufika fainali
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kweli wewe ubongo wako umejaa makamasi umesoma vizuri nilichokiandika ukaelewa.Hakuna cha kupanic hapa bali nyinyi mashabiki wa yanga mna akili za kipumbavu unasema simba ni mbovu kisa kutolewa robo fainal klabu bingwa hali ya kuwa timu yako kwenye hayo mashindano ilitolewa raundi ya pili ya mashindano, sasa nani mbovu kati ya aliye ishia robo na ailiye shindwa hata kufika makundi?
Tatizo mashabiki wa utopolo mnawazaga kwa kutumia mavi badala ya ubongo.
Hongera ya Nini Sasa ???Waarabu wamepanda juu na nguvu zao, hivyo Simba walipambana sana, la sivyo wangebeba kapu la magoli. Hongera Simba.
Huna hoja popoma wewwKwani aliye liita kombe la loosers ni Simba au ni huyo mropokaji wenu na nyinyi mazezeta mkamuunga mkono iweje sasa hivi liwe kombe la maana?
Kanunua wachezaji wa mafungu.Lawama abebeshwe Nani ,Ni moo kwa kuleta na kununua magarasaa tupu kina sawadogo
[emoji16] hawafai kabisaKauli zao zinatia aibu.
Ww wa kwako umejaa mavi kabisa maana kila dakika unaanzisha nyuzi za kijinga nadhani utakuwa unalelewa na shemeji yako maana hata muda wa kutafuta pesa ww uko unapost nyuzi zilizo jaa uharo.Kweli wewe ubongo wako umejaa makamasi umesoma vizuri nilichokiandika ukaelewa.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ohooo, taratibu Wananchi wenzangu kwenye kuwatania madunduka.Bwana ITR umepaniki..!! Haiwaongezi chochote zaidi ya kupata bichwa ambalo hakuna mtakakolitumia
Kabla ya kutaka nilete hoja ww umeleta hoja gani zaidi ya uharo?
Nusu fainal ya vilaza.Ohooo, taratibu Wananchi wenzangu kwenye kuwatania madunduka.
Mkiona yamekasirika muyaache yarilaksi kwanza maana wengine wa jazba hatari, huenda wamefisha visu. Msije kukosa kushuhufia Mwananchi akitinga nusu hapo kesho.