Huwezi kusema Simba waitwe Bungeni kupongezwa, wapongezwe kwa lipi?

Bwana ITR umepaniki..!! Haiwaongezi chochote zaidi ya kupata bichwa ambalo hakuna mtakakolitumia
Hakuna cha kupanic hapa bali nyinyi mashabiki wa yanga mna akili za kipumbavu unasema simba ni mbovu kisa kutolewa robo fainal klabu bingwa hali ya kuwa timu yako kwenye hayo mashindano ilitolewa raundi ya pili ya mashindano, sasa nani mbovu kati ya aliye ishia robo na ailiye shindwa hata kufika makundi?
Tatizo mashabiki wa utopolo mnawazaga kwa kutumia mavi badala ya ubongo.
 
Uliporoga kwa moto na ukapigwa faini kwa uchawi nje ya nchi, ilikuwa kwenye mashindano gani..!!??
Ilikuwaje ukafika kwenye hayo mashindano unayo shiriki sasa hivi hali yakuwa ulikuwa kwenye mashindano ambayo Simba alikuwa anashiriki?
 
Hakuna cha kupanic hapa bali nyinyi mashabiki wa yanga mna akili za kipumbavu unasema simba ni mbovu kisa kutolewa robo fainal klabu bingwa hali ya kuwa timu yako kwenye hayo mashindano ilitolewa raundi ya pili ya mashindano, sasa nani mbovu kati ya aliye ishia robo na ailiye shindwa hata kufika makundi?
Tatizo mashabiki wa utopolo mnawazaga kwa kutumia mavi badala ya ubongo.
Kweli wewe ubongo wako umejaa makamasi umesoma vizuri nilichokiandika ukaelewa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ww wa kwako umejaa mavi kabisa maana kila dakika unaanzisha nyuzi za kijinga nadhani utakuwa unalelewa na shemeji yako maana hata muda wa kutafuta pesa ww uko unapost nyuzi zilizo jaa uharo.
Ukisha kuwa utopolo automatic unakuwa kiazi kichwani.
 
Bwana ITR umepaniki..!! Haiwaongezi chochote zaidi ya kupata bichwa ambalo hakuna mtakakolitumia
Ohooo, taratibu Wananchi wenzangu kwenye kuwatania madunduka.
Mkiona yamekasirika muyaache yarilaksi kwanza maana wengine wana jazba hatari, huenda wameficha visu. Msije kukosa kushuhudia Mwananchi akitinga nusu hapo kesho.
 
Ohooo, taratibu Wananchi wenzangu kwenye kuwatania madunduka.
Mkiona yamekasirika muyaache yarilaksi kwanza maana wengine wa jazba hatari, huenda wamefisha visu. Msije kukosa kushuhufia Mwananchi akitinga nusu hapo kesho.
Nusu fainal ya vilaza.
 
Back
Top Bottom