Huwezi kusema Simba waitwe Bungeni kupongezwa, wapongezwe kwa lipi?

Ww wa kwako umejaa mavi kabisa maana kila dakika unaanzisha nyuzi za kijinga nadhani utakuwa unalelewa na shemeji yako maana hata muda wa kutafuta pesa ww uko unapost nyuzi zilizo jaa uharo.
Ukisha kuwa utopolo automatic unakuwa kiazi kichwani.
Popoma jinga wewe pumbavu unadhani Kama wewe huna kazi ndiyo kila mtu Hana kazi

Kama huna hoja kaa pembeni bimbilisa mavi wewe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo ushindi wao ulipoishia[emoji16]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Aliyekwambia malengo ya simba kuishia robo ni nani? simba malengo yao ni kuchukua ubingwa imetokea wametolewa robo wamefeli, Yanga malengo yao ilikuwa kuingia makundi tu, lakini wamefuka malengo yao kwa kufika robo na kuichungulia nusu
 
Popoma jinga wewe pumbavu unadhani Kama wewe huna kazi ndiyo kila mtu Hana kazi

Kama huna hoja kaa pembeni bimbilisa mavi wewe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mm nina kazi za kufanya na ndio maana huwezi niona hapa naanzisha uzi kila baada ya dakika tano, sasa ww kila baada ya dakika 5 unaanzisha uzi na mbaya zaidi nyuzi zako za kiwaki hazina point yeyote.
Sasa muda wa kufanya kazi unapata wapi au ndo unaishi mjini kwa kutegemea mabasha?
 
Aliyekwambia malengo ya simba kuishia robo ni nani? simba malengo yao ni kuchukua ubingwa imetokea wametolewa robo wamefeli, Yanga malengo yao ilikuwa kuingia makundi tu, lakini wamefuka malengo yao kwa kufika robo na kuichungulia nusu
Yanga malengo yao yalikuwa ni kuingia makundi ya kilabu bingwa na sio makundi ya viraza hivyo malengo yao yameferi tiyari.
 
Aliyekwambia malengo ya simba kuishia robo ni nani? simba malengo yao ni kuchukua ubingwa imetokea wametolewa robo wamefeli, Yanga malengo yao ilikuwa kuingia makundi tu, lakini wamefuka malengo yao kwa kufika robo na kuichungulia nusu
Aliyekuambia yanga malengo yao ni kuingia / kuvuka makundi ni Nani??

Huwezi ukawa unautaka ubingwa wa CAF huku unasajiri akina okwa Sawadogo na habiby kiyombo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sasa Kama unafanya kazi muda wa kuja kukomenti humu unaupata wapi???

Kazi yako ya kutoambwa bandani usitupangie tuanzishe threads saa ngapi
Nafikiri umenielewa afande rama

Clip za ALLY kamwe akisema malengo ya yanga kuingia makundi zipo mitandaoni, kwasasa si simba wala yanga hakuna timu yenye wachezaji wa kuleta kombe la afrika tz, NARUDIA TENA HAKUNAAAAA
 
Yanga analeta shirikisho tupinge Kama unabisha.[emoji41]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sasa Kama unafanya kazi muda wa kuja kukomenti humu unaupata wapi???

Kazi yako ya kutoambwa bandani usitupangie tuanzishe threads saa ngapi
Nafikiri umenielewa afande rama

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ni razima nikupangie mwanaume kushinda humu unapiga umbea badala ya kutafuta pesa ni sababu ya ongezeki la ushoga.
 
Kwa bunge lipi ???? Hilo la waking BABU TALE hahahahaha ! Anaitwa DR tale sijui degree ya kwanza alisoma nn haswa ? Appearance yake tu inaonesha namna alivyo kichwani hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…