Simeone
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 905
- 1,002
Ipo pale jangwani na inaishi vyema.Vip kuhusu timu yako iliyo tolewa raudi ya pili ya mashindano?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo pale jangwani na inaishi vyema.Vip kuhusu timu yako iliyo tolewa raudi ya pili ya mashindano?
[emoji16]Bunge limekua la mchezo sikuhizi doh!!
Popoma jinga wewe pumbavu unadhani Kama wewe huna kazi ndiyo kila mtu Hana kaziWw wa kwako umejaa mavi kabisa maana kila dakika unaanzisha nyuzi za kijinga nadhani utakuwa unalelewa na shemeji yako maana hata muda wa kutafuta pesa ww uko unapost nyuzi zilizo jaa uharo.
Ukisha kuwa utopolo automatic unakuwa kiazi kichwani.
Ngoja akunje kibunda Cha robo ndiyo atakuja Tena kuwadanganya.Mwenye timu kashasema: Hiyo timu ni hasara kwake
Aliyekwambia malengo ya simba kuishia robo ni nani? simba malengo yao ni kuchukua ubingwa imetokea wametolewa robo wamefeli, Yanga malengo yao ilikuwa kuingia makundi tu, lakini wamefuka malengo yao kwa kufika robo na kuichungulia nusu
Mm nina kazi za kufanya na ndio maana huwezi niona hapa naanzisha uzi kila baada ya dakika tano, sasa ww kila baada ya dakika 5 unaanzisha uzi na mbaya zaidi nyuzi zako za kiwaki hazina point yeyote.Popoma jinga wewe pumbavu unadhani Kama wewe huna kazi ndiyo kila mtu Hana kazi
Kama huna hoja kaa pembeni bimbilisa mavi wewe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yanga malengo yao yalikuwa ni kuingia makundi ya kilabu bingwa na sio makundi ya viraza hivyo malengo yao yameferi tiyari.Aliyekwambia malengo ya simba kuishia robo ni nani? simba malengo yao ni kuchukua ubingwa imetokea wametolewa robo wamefeli, Yanga malengo yao ilikuwa kuingia makundi tu, lakini wamefuka malengo yao kwa kufika robo na kuichungulia nusu
Aliyekuambia yanga malengo yao ni kuingia / kuvuka makundi ni Nani??Aliyekwambia malengo ya simba kuishia robo ni nani? simba malengo yao ni kuchukua ubingwa imetokea wametolewa robo wamefeli, Yanga malengo yao ilikuwa kuingia makundi tu, lakini wamefuka malengo yao kwa kufika robo na kuichungulia nusu
Sasa Kama unafanya kazi muda wa kuja kukomenti humu unaupata wapi???Mm nina kazi za kufanya na ndio maana huwezi niona hapa naanzisha uzi kila baada ya dakika tano, sasa ww kila baada ya dakika 5 unaanzisha uzi na mbaya zaidi nyuzi zako za kiwaki hazina point yeyote.
Sasa muda wa kufanya kazi unapata wapi au ndo unaishi mjini kwa kutegemea mabasha?
Punguza ushamba,kwann isiwe kapombe..halafu unashangaa mtu kukusa tuta kweli???unashabikia mpira gani mkuu?Nilijua tu huyu Chama ni jasusi
Clip za ALLY kamwe akisema malengo ya yanga kuingia makundi zipo mitandaoni, kwasasa si simba wala yanga hakuna timu yenye wachezaji wa kuleta kombe la afrika tz, NARUDIA TENA HAKUNAAAAAAliyekuambia yanga malengo yao ni kuingia / kuvuka makundi ni Nani??
Huwezi ukawa unautaka ubingwa wa CAF huku unasajiri akina okwa Sawadogo na habiby kiyombo.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yanga analeta shirikisho tupinge Kama unabisha.[emoji41]Clip za ALLY kamwe akisema malengo ya yanga kuingia makundi zipo mitandaoni, kwasasa si simba wala yanga hakuna timu yenye wachezaji wa kuleta kombe la afrika tz, NARUDIA TENA HAKUNAAAAA
Utayakana maneno yakoYanga analeta shirikisho tupinge Kama unabisha.[emoji41]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ni razima nikupangie mwanaume kushinda humu unapiga umbea badala ya kutafuta pesa ni sababu ya ongezeki la ushoga.Sasa Kama unafanya kazi muda wa kuja kukomenti humu unaupata wapi???
Kazi yako ya kutoambwa bandani usitupangie tuanzishe threads saa ngapi
Nafikiri umenielewa afande rama
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa bunge lipi ???? Hilo la waking BABU TALE hahahahaha ! Anaitwa DR tale sijui degree ya kwanza alisoma nn haswa ? Appearance yake tu inaonesha namna alivyo kichwani hahahahaSimba kuishia robo ndiyo malengo yao, hakuna wa kushangaa kwa hicho walicho kivuna nafikiri hata kwenye maandalizi yao na benchi la ufundi ndiyo hicho.
Hakuna sababu ya kumpa pongezi mtoto ambaye Kila mwaka anakuwa wa kumi darasani hauwezi kumpa pongezi hata kidogo kwa maana hakuna maendeleo anayoyafanya.
Ila utampa pongezi Kama Kila siku unaona improvement (maendeleo) kutoka nafasi ya kumi kapanda mpaka nane (8) na kuendelea, hakika utakua mchoyo endapo usipo mpa pongezi (kumwagia maua yake).
Huwezi kusema kuwa simba waitwe bungeni wapongezwe Sasa wapongezwe kwa lipi? Ni hatua gani au record gani wameivunja ya kushangaza mpaka waitwe bungeni wapongezwe?
Tukubali tukatae Simba walijiandaa kisaikolojia kuishia pale wanapoishia kila siku (kila msimu).
Kauli ya kusema kuwa kutolewa tumetolewa lakini tumetolewa kwa mbinde hiyo siyo kauli thabiti katika football.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji16] Asante sana mtoambwa bandaniAfande rama tafuta hela