Huwezi kushindana na Haji Manara

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Haji Manara aka Haji Matrophy . Shareef El Buggati. Shareef Makombe.

Shareef Makarama.

Yanga itapaa kwa viwango vya juu sana. INJINIA na Haji sasa mambo powa.

Alichokisema Haji ni kwamba Hamtaki Gamondi Yanga.

Tabu iko pale pale.

# Haji ni mtoto wa Jini.

Uzi usiunganishwe please naleta madini soon.
 
Manara effect
Chikola effect


Pongezi ziende kwa Mama. Mama anaupiga mwingi


Mama angemshukuru kocha Gamondi kwa kazi nzuri. Ili apate KiKi, au amuite ikulu kabisa 🀣
 
Nmegundua kwanini unapiga vita elimu bora
 
Kwa hiyo baada ya kugombana na kocha kaamua kuchomoa majini yake mtu kala chuma nne ndani ya mechi mbili. Yule Mganga wa Magunga lazima afanye kazi na Haji ndio mambo yanaenda vinginevyo kuwatenganisha ni ngumu. Ndio maana Manara akihama timu anamfuata huko huko.
 
huu uzi umenikumbusaha swali aliloulizwa Jinni mmoja wa hapa JF kuhusu Manara. Alijibu hivi:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…