Huwezi kushindana na Haji Manara

Huwezi kushindana na Haji Manara

Haji Manara aka Haji Matrophy . Shareef El Buggati. Shareef Makombe.

Shareef Makarama.

Yanga itapaa kwa viwango vya juu sana. INJINIA na Haji sasa mambo powa.

Alichokisema Haji ni kwamba Hamtaki Gamondi Yanga.

Tabu iko pale pale.

# Haji ni mtoto wa Jini.

Uzi usiunganishwe please naleta madini soon.
Tanzania inazidi kupoteza watu wenye utimamu wa akili sasa ulichoaandika hapa kina mantiki gani ?
 
Kuna mwamba mmoja humu alikuja na uzi akisema mpira wa ulaya umeshuka kiwango na kudai mpira wa bongo umekuwa kuliko wa ulaya 😂😂 kuna watu kweli wanachekesha humu 🤣🤣
Mtaje huyo mtu tuanze kumsaka maana zama za ujinga ujinga hatutaki iendelee.
 
Kuna watu wanaona maanguko ya timu mapema kabla timu haijapotea kwenye ramani, nadhani Haji ni mmojawapo, kongole kwake. Haji kaona shida kubwa ya Yanga kufungwa ovyo akatibuana na Gamondi kwa stori ile yake ya kusema Gamondi alimlaumu kumsema vibaya.

Timu inapoboronga hakuna namna ni kumtoa kocha tu maana timu ni kubwa kuliko mtu. Japo tutamkumbuka Gamondi kwa kuwakanda makolo!!
 
Back
Top Bottom