Huwezi kushindana na Haji Manara

Kwa akili kama hizi mpira wa Tanzania una safari ndefu sana
 
Nmegundua kwanini unapiga vita elimu bora
Kwa sababu elimu yako haijakusaidia. Huwezi kudili na mambo ya Simba na Yanga kwa kutumia akili kubwa. Mambo ya ujinga ujinga kama mambo ya mpira wa Simba na Yanga unadili nayo kwa kutumia akili ndogo. Jifuzne kusoma " energy" . Ukijua kusoma " energy" utajua kutofautisha between OVER ALL an ALL OVER.
 
Yupo sahihi kabisa. Manara katika ulimwengu wa roho sio mtu mdogo. Kitukuu wa Mtume yule.

Kuna kabila fulani njia ya kusini wana amini " Albino ni watoto wa majini" kama nataka kuwaelewa elewa vile.
 
Mbona unajieleza sana mzee hebu tumia elimu kufupisha maelezo.
 
Sababu nyingine na ya msingi ni yeye Gamond kukataa viongozi wasinunue mechi na madawa/sindano za kusisimua misuli ya wachezaji hasa pale timu inaposhambuliwa kwa sababu kocha alikataa hayo yote kwa sababu yanadhoofisha vipaji vya wachezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…