Huwezi kutajirika kwa kutegemea mshahara, mishahara ni ya wa miaka 20s 30s na married women

Huwezi kutajirika kwa kutegemea mshahara, mishahara ni ya wa miaka 20s 30s na married women

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Ni ndoto za mchana kutegemea kua millionior kwa kutegemea mshahara wa kila mwezi, mshahara ni kwa ajiri ya basics (substance) zako za kuishi, au steping stone kujiajiri haraka kabla ya kufika 40yrs.
Njia za kutajilika muhimu ziko nne:

1. Uzalishaji wa bidhaa commodity production yenye uhitaji.
2. Huduma au service production tafuta skills za kukuwezesha utowe huduma muhimu katika jamii.
3. Personal saving au kutunza akiba kwa kujinyima mambo mengine.
4. Wizi au ufisadi kwa mali za ummah au za watu matajiri wenye uwezo, japo hi mbinu ni hatari kwenye nchi zinazo fuata sheria.
 
Achana na serikali, huko inaweza isiwepo. Sekta binafsi kuna watu wanakunja pesa.
Wataje mkuu tuwajue achana umbeya wa watu keta majina yao, hao wanao pokea 40+, kama mshahara wa first citizen wa nchi ni 36m kwa mwenzi mtu mgine kupokea 40m ndani ya serikali hiyo huo ujuma.
 
Hatuwezi wote tukawa matajiri mkuu, wengine watakuwa matajiri, wengine vipato vya kati na wengine vipato vya chini, na wengine wakawa hawana vipato, kufanya biashara ni kipawa sio wote wanavyo, nimegundua pia hata shughuli za kilimo ni kipawa sio kila mtu anaweza kuwa mkulima
 
Ni ndoto za mchana kutegemea kua millionior kwa kutegemea mshahara wa kila mwezi, mshahara ni kwa ajiri ya basics (substance) zako za kuishi, au steping stone kujiajiri haraka kabla ya kufika 40yrs.
Njia za kutajilika muhimu ziko nne:

1. Uzalishaji wa bidhaa commodity production yenye uhitaji.
2. Huduma au service production tafuta skills za kukuwezesha utowe huduma muhimu katika jamii.
3. Personal saving au kutunza akiba kwa kujinyima mambo mengine.
4. Wizi au ufisadi kwa mali za ummah au za watu matajiri wenye uwezo, japo hi mbinu ni hatari kwenye nchi zinazo fuata sheria.
1.Ili utajiri inabidi uwe na pesa/mali kiasi Gani?
2.hauwezi kutumia mshahara wako ako kujiajiri hadi kutimia lengo lako la kua tajiri kwa viwango vyako?
3.watu wote wanalipwa mishahara sawa?,
 
Back
Top Bottom