Hao kama wako Tanzania hawazidi 100, tena wengi wanauza skills zao sio labour zaoKuna watu wanalipwa zaidi ya 40mil kwa mwezi sijui hawa unawaweka kundi gani
Unaonekana hujawahi hata kutembea ndani ya hii nchi tu.Hao kama wako Tanzania hawazidi 100, tena wengi wanauza skills zao sio labour zao
Tuanze kuwahesabuHao kama wako Tanzania hawazidi 100, tena wengi wanauza skills zao sio labour zao
Mwambie hao 100 unaweza kuwakuta wako kwenye kampuni moja tuTuanze kuwahesabu
umemshika pabaya, ataukimbia uziTuanze kuwahesabu
Hawa ni businessmen wannabe mkuu.... Waache waje wakutane na uji wa moto... 😂Kuna watu wanalipwa zaidi ya 40mil kwa mwezi sijui hawa unawaweka kundi gani
Tunaanzia jumba jeupe 😄Mwambie hao 100 unaweza kuwakuta wako kwenye kampuni moja tu
Achana na serikali, huko inaweza isiwepo. Sekta binafsi kuna watu wanakunja pesa.Tunaanzia jumba jeupe 😄
Labda sector binafsiKuna watu wanalipwa zaidi ya 40mil kwa mwezi sijui hawa unawaweka kundi gani
Huyu ni nani mkuu, anafanya kazi gani au nu servuce provider gani?Unaonekana hujawahi hata kutembea ndani ya hii nchi tu.
Hebu ulizia tu mishahara ya Lipton Teas and Infusions.
Wataje mkuu tuwajue achana umbeya wa watu keta majina yao, hao wanao pokea 40+, kama mshahara wa first citizen wa nchi ni 36m kwa mwenzi mtu mgine kupokea 40m ndani ya serikali hiyo huo ujuma.Achana na serikali, huko inaweza isiwepo. Sekta binafsi kuna watu wanakunja pesa.
👊Kuna watu wanalipwa zaidi ya 40mil kwa mwezi sijui hawa unawaweka kundi gani
Unamanisha saidia fundi au civil Engineers, wengi huwezi kuwalinganisha kwa kipato na waalimu alio ajiliwa serikalini au private, mualimu hawezi kufanya muamala wa 30m bila kulopa benki au kuuza shamba.Mbona mafundi ujenzi hawatajiriki na wana skills za kujenga?
1.Ili utajiri inabidi uwe na pesa/mali kiasi Gani?Ni ndoto za mchana kutegemea kua millionior kwa kutegemea mshahara wa kila mwezi, mshahara ni kwa ajiri ya basics (substance) zako za kuishi, au steping stone kujiajiri haraka kabla ya kufika 40yrs.
Njia za kutajilika muhimu ziko nne:
1. Uzalishaji wa bidhaa commodity production yenye uhitaji.
2. Huduma au service production tafuta skills za kukuwezesha utowe huduma muhimu katika jamii.
3. Personal saving au kutunza akiba kwa kujinyima mambo mengine.
4. Wizi au ufisadi kwa mali za ummah au za watu matajiri wenye uwezo, japo hi mbinu ni hatari kwenye nchi zinazo fuata sheria.
Wanapenda sana mbunyeeeMbona mafundi ujenzi hawatajiriki na wana skills za kujenga?