Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Unataka kusema CEO wa bank ya serikali analipwa 5M?Sasa hapo mkuu umeanza kutupiga kamba, mshahara wa raisi ni 36m balozi 30m mkuu wa mkoa 5m mkurugenzi wa shirika la ummah 5m to 10m. Sasa huyu ni zaidi ya watumishi wote, kama sio fisadi tu......wale wa IT experts wa mitando ya simu wanskua catogorised as rare specialist na wana ajiliwa kwa mda maalumu usio zidi miaka miwili