Unataka kusema CEO wa bank ya serikali analipwa 5M?Sasa hapo mkuu umeanza kutupiga kamba, mshahara wa raisi ni 36m balozi 30m mkuu wa mkoa 5m mkurugenzi wa shirika la ummah 5m to 10m. Sasa huyu ni zaidi ya watumishi wote, kama sio fisadi tu......wale wa IT experts wa mitando ya simu wanskua catogorised as rare specialist na wana ajiliwa kwa mda maalumu usio zidi miaka miwili
Serikali haina benki yake zote una ubia na watu, na ma benki mengi CEO anakua share holder gawio lake anapata vizuri sio mshahara.Unataka kusema CEO wa bank ya serikali analipwa 5M?
Unataka nikuonyeshe contract yake au salary slip yake? Shida mmekaa tu serikalini hata makampuni makubwa mapya yanayolipa hamyajui. Nilikupa assignment tafuta watu wanaoitwa Lipton Teas and Infusions lakini kwakuwa umekazania kubishana tu hata hukufanya hivyo.Mkuu leta hoja sio matusi dhibitisha hayo unao sema mkuu acha hasira mshahara wa 113m na alliwance ya 7m kwa kijana wa miaka 30 hapa nchini ni kama chai mkuu we dhibitisha kwa kutupa mifano halisi.
Mkuu lipton ni kampuni za majani ya chai green tea, sidhani wanaweza kulipa kiasi hicho, hata Gold mine sio rahisi kulipa kiasi hicho, sawa unaweza ukawa alikuambia hivo ila uwe makini, sijui jinsia yako anyway, just be careful watu wa wongo wakiwa na la kwao.Unataka nikuonyeshe contract yake au salary slip yake? Shida mmekaa tu serikalini hata makampuni makubwa mapya yanayolipa hamyajui. Nilikupa assignment tafuta watu wanaoitwa Lipton Teas and Infusions lakini kwakuwa umekazania kubishana tu hata hukufanya hivyo.
Wewe endelea kudumaa hapo serikalini uchukue laki zako tano ila ujue wenzako wanakula noti mzee.
Kwahiyo kwa TCB huyu CEO aliyetoka DTB akaenda TCB yeye ni share holder?Serikali haina benki yake zote una ubia na watu, na ma benki mengi CEO anakua share holder gawio lake anapata vizuri sio mshahara.
Mkuu keta jina lake kamiri nikupe majibu yake kama ni share holder au la na cv zake zoteKwahiyo kwa TCB huyu CEO aliyetoka DTB akaenda TCB yeye ni share holder?
Adam MihayoMkuu keta jina lake kamiri nikupe majibu yake kama ni share holder au la na cv zake zote
Huyu kapelekwa pale kusimamia hisa na intrest za serikali ni mtumushi wa ummah, analipwa kwa scale salaries za watumishi wa ummah, kwenye system ya share holders haumo sijamuona.Adam Mihayo
Watu wenye njaa kama Mimi watabisha..watu wanamaisha113 na allowances zaidi ya 7m. Huyu namjua personally.
Jamaa kangangania serikalini kwakua experience yake Iko huko😂😂..Yani kachota maji baharini kwakutumia ndoo,akakuta ndani ya ndoo hakuna papa...ame conclude kuwa baharini hakuna papa😀😀Mkuu mbona kila comment unaitaja serikali? Hujui kuna watu hawafanyi kazi serikalini? Halafu pia wala sio expert na wala sio specialist. Ni mbongo tu wa huko huko Nadonjuki tena mshkaji kijana tu wa 30s.
Whatever utavoziita..ila wanaume wanavuta hizo..Yani safi na salama..na zawadi za birthday kwa wake zao wanatoa V8100m hauwezi kua mshahara labda liwe gawio katika scale za mushahara ya nchi huo wa 100m haupo kabisa.
So aweza kua analipwa 5M kama unavyosema?Huyu kapelekwa pale kusimamia hisa na intrest za serikali ni mtumushi wa ummah, analipwa kwa scale salaries za watumishi wa ummah, kwenye system ya share holders haumo sijamuona.
Jamaa unachekesha sanaWapi mkuu acha kupa watu mwoyo, take home ya 9m sio mchezo hapa bongo
Kuna watu wana bahati asee mimi niliona contract ya jamaa nikajiona nacheza maishani hamna kitu nafanyaJamaa kangangania serikalini kwakua experience yake Iko huko😂😂..Yani kachota maji baharini kwakutumia ndoo,akakuta ndani ya ndoo hakuna papa...ame conclude kuwa baharini hakuna papa😀😀
Wako wangap hao watu wanao lipwa mil 40 kati ya watumishi wa serikali 500,000Kuna watu wanalipwa zaidi ya 40mil kwa mwezi sijui hawa unawaweka kundi gani
Twende taratibu mkuu. Ni watumishi wangapi wanaweza kukopesheka hadi mil 200?? Maana huyo anaye kopesheka kias hicho mshahara wake siyo chini ya mil 10 kwa mweziNakupa mfano mdogo Sana!! Nmb anakopesha watumishi mpaka milioni 200!! Sasa mtu aliyechukua hizo 200 m !! Akanunua
1) rice grading mashine 35milion
2) akavuta tandam Moja 40mil
3) akavuta Massey fagason Moja 30 milioni
Akawekeza kwenye kilimo Cha mpunga na kuuchakata na kuupeleka Kenya na Uganda na south Sudan na sehemu akauza Michele DSM!! Unasemaje hapo!??
Hapa tuna ongelea waajiriwa kwa ujumla sekta binafsi na ummaWako wangap hao watu wanao lipwa mil 40 kati ya watumishi wa serikali 500,000
Sawa,lakini haipingiki kwamba wako wachache saaana,sio wengi.Mimi pia ninawafahamu wengi tu sana sana wale kwenye mashirika ya U.NAchana na serikali, huko inaweza isiwepo. Sekta binafsi kuna watu wanakunja pesa.
Hahahaaa Yani nyie jidanganyeni tuuuuWith master/CCIE or international certificates wapo wanalipwa net 10mil to 50mil and above hapa inategemea aina ya shirika na uzoefu wako wa kazi hapo ni nje ya bonus and marupurupu mengine watu wanakula hela wewe endelea kusema ni ya 20/30 useme hulipwi vzr