funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Ni asiyejitambua tu ndio atalilia tuwe na katiba itakayodogosha ukubwa wa mamlaka .......Eti Rais awe na nguvu sawa na Mwenyekiti wa kijiji cha mpitimbi au rais wa NGO s za kutetea haki ya mbu kuishi.!!
Ukiruhusu katiba ya namna hiyo utakuwa na Taifa la kambale au uduvi kila mmoja ana ndevu.
Nyuki ni wamoja sana na ni hatari chini ya Malkia ,Simba wanazo territories zao na dume mmoja ndio alpha na omega.
Kabla ya ujio wa wazungu jamii zetu ziliishi kwa upendo chini ya Machifu na yalikuwepo mabaraza mbalimbali ya ushauri ikiwemo ya ulinzi,maombi,matibabu n.k.
Kila kitu duniani ni nature oriented na hatuwezi kupambana na nature.
Hata kwenye vyama vya siasa katiba zao zinalinda mamlaka kuliko wanachama.
SISI WATANZANIA tunahitaji maji safi na salama,matibabu,elimu,ustawi ,furaha n.k ...na wala sio chombo cha kutufanya wote tuwe marais au wakuu wa mikoa au mawaziri.