Huwezi kutaka katiba itakayodogosha ukubwa wa mamlaka...hapo hakutakuwa na Taifa moja

Huwezi kutaka katiba itakayodogosha ukubwa wa mamlaka...hapo hakutakuwa na Taifa moja

Huwez kuwa mwanaume kama uko chamani sisiemu wakati mna mashoga akina Domo, wavaa hereni.
Michael Jackson maintained a supportive and inclusive environment for the LGBTQ+ community through his professional work and philanthropy.

hata AI inajua kuhusu michael Jackson.
halafu unakuja kubinua mdono wakati wanaume wanajadili hoja.
kwa hiyo unataka katiba mpya ili iwatambue mashoga kama ninyi??
 
Michael Jackson maintained a supportive and inclusive environment for the LGBTQ+ community through his professional work and philanthropy.

hata AI inajua kuhusu michael Jackson.
halafu unakuja kubinua mdono wakati wanaume wanajadili hoja
Propaganda za illuminate
Kama ambavyo mnazifanya kwa mwana ccm alienyooka
Nanukuu from humphley polepole
 
Propaganda za illuminate
Kama ambavyo mnazifanya kwa mwana ccm alienyooka
Nanukuu from humphley polepole
Usiondoke kwenye mada ulioanzisha shoga mkubwa we...ndio maana mnang'ang'ania katiba mpya ili mtuletee huu uduwanzi.
Warudishie salamu waliokutuma kashoga kalichoko mafunzoni...wewe.
badilisha avatar ndio uje kujadili na sisi kwenye jukwaa hili ...mtu wa hovyo sana
 
Usiondoke kwenye mada ulioanzisha shoga mkubwa we...ndio maana mnang'ang'ania katiba mpya ili mtuletee huu uduwanzi
shoga na katiba mpya inahusika nini?
Diamond shoga na ndio mnanguzka nae kwenye matukio yenu hamuoni kuwa nyie ndio mnasambaz ushoga?

Now ushoga mwinge huko dsm
Ila hatuoni serikali ikichukua hatua , je hamuhusiki kuukumbatia?

Tunajua mmes sign mikataba na wababe wa dunia hii

Ccm ni laana ya hii nchi
Haya nenda katomwe na abduli huko
 
Usianze kuitaja Serikali au CCM hapa nenda kafute hiyo avatar yako ya kidosho ...wazazi wako hakukufunza mabaya na mema sasa sisi ulimwengu tunakufunza...kashoga kalioko mafunzoni we
 
Usianze kuitaja Serikali au CCM hapa nenda kafute hiyo avatar yako ya kidosho ...wazazi wako hakukufunza mabaya na mema sasa sisi ulimwengu tunakufunza
Toka hapa usinipangie
Katiba hamtaki sababu mnaogopa mabadiliko? Hamtaki sababu maisha yenu yote ni kuwaibia wananchi na kuwatesa, mnaogopa ugali utayeyuka?
Hahahah
 
Toka hapa usinipangie
Katiba hamtaki sababu mnaogopa mabadiliko? Hamtaki sababu maisha yenu yote ni kuwaibia wananchi na kuwatesa, mnaogopa ugali utayeyuka?
Hahahah
Nani aliyekwambia katiba itakupa mabadiliko?wewe umewahi kuibiwa ?toka lini shoga akaibiwa au kuteswa?
wewe umeamua kujiunga kwenye upuuzi unataka katiba ndio ikuondoe kwenye tabia yako chafu?
 
Huwezi kutaka katiba mpya kama

1. Jaji mkuu unamteua wewe.

2. Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi unamteua wewe na anaaapa kwako , unamlipa wewe na anaenda kusimamia uchaguzi unaoshiriki

3.Mkurugenzi wa tume unamteua wewe wewe na anaaapa kwako , unamlipa wewe na anaenda kusimamia uchaguzi unaoshiriki

4. Viongozi wa majeshi , vyombo vya ulinzi na usalama unawateua wewe.

5.Wakuu wa mikoa, wakurugenzi, wakuu wa wilaya ambao wako chini yako na vyombo vya dola viko chini yao na wewe bado ni boss wao.

6.Unateua wakurugenzi wa bodi na mashirika bila kuulizwa sababu [hata ukitaka kuweka vimada wako sawa tu] .

7.Unaweza kufanya jambo lolote lile iwe wizi, ufisadi, mauaji ukijua fika hakuna mahakama yoyote itawahi kukugusa.

8.Unateua mwanasheria mkuu, majaji wa mahakama kuu, mkurugenzi wa mashtaka bila kuulizwa sababu ya uteuzi au uwezo .

9. 99% ya teuzi na tenguzi unafanya wewe ukijisikia bila kuulizwa wala kumuogopa mtu.

10.Una nafasi 10 za bure kuteua wabunge bila kuulizwa sababu, uwezo wala chochote wakaenda kutafuna kodi za wananchi[ ukitaka hata vimada wako wa zamani wewe beba sisi hatukuulizi]

11..Unaweza kutoa amri ya mtu usiyempenda wakati wowote akawekwa kizuizini na watu wasijue hadi pale ukiamua atoke, unaweza kutoa amri auwawe na maiti yake kamwe isiweze kupatikana, unaweza kutoa amri afunguliwe kesi feki tena zisizo na dhamana, unaweza kuamua kesi atakayofunguliwa apewe kifungo cha muda mrefu na yote utafanikisha maana mfumo wa mahakama uko chini yako na sio mhimili unaojitegemea.

Swali kuu je kwa hivi vitu tajwa utaanzaje kuona ubaya wa katiba kama kila mtu yuko chini yako kuanzia wanadamu milioni 70, chawa , kunguni, sisimizi na kila kitu kiko chini yako?

Ni sawa na kusema mwizi achukie wizi ni kitu kigumu maana ananufaika nacho 100%
Mkuu umendika hoja nzito huyo chawa akikujibu nishtue
 
Nani aliyekwambia katiba itakupa mabadiliko?wewe umewahi kuibiwa ?toka lini shoga akaibiwa au kuteswa?
wewe umeamua kujiunga kwenye upuuzi unataka katiba ndio ikuondoe kwenye tabia yako chafu?
Tokaa mjaa laaana wewe
 
Mkuu umendika hoja nzito huyo chawa akikujibu nishtue

Ninamsubiri ajibu huyu chawa jinga lao .

Anadai watanzania wanahitaji maji wakati huo maji yenyewe jiji kama Dar es Salaam watu wanafika majuma 3 hakuna maji na yatokapo ni maji ya tope.

Back
Top Bottom